Rais Kikwete na mipango ya uchumi kwa Tanzania miaka 5 ijayo

Anadai tukitaka kuendelea lazima tuwe na cement, na anadai malighafi za kuzalishia cement ni nyingi sana...

Anadai kuongeza viwanda vya cement ili kuuza ndani na nje.

Na anadai kuweka kiwanda cha chuma, kwa kuwa tuna malighafi nyingi sana.
Hadithi za Abunuwasi
 
Yaani km mtu ametoka ughaibuni ana hadithia wajomba zake ulaya kulivyo, simu operator wa uingereza yupo india.
 
Ahaaaa ahaaaa umeona mkuu halafu wale crap wenzake wanacheka na kushangilia wakitoka hapo utasikia kuna maandamano ya kumpongeza kwa hotuba nzuri

Anaongea mambo mazuri, inatakiwa sasa aje na Implementation Plan na Time Frame ya hayo yote anayoongea isijekuwa anajaribu tuu kujibu Bajeti Mbadala ya Mh. Zito na kuwalainishi wabunge wetu wa CCM ili hata mmoja asipinge bajeti ya serikali itakaposomwa
 
JK anaota nini, mishahara inamsumbua kulipa, hii mipango ataitekeleza vipi?
 
Haya yote anayosema anarudia ile hotuba yake ya masaa 3 aliyowahi kutoa kwenye uchaguzi wa CCM 2007 Dodoma..porojo tupu
 
Miundo mbinu,

Kuendeleza miundo mbinu ili kukuza uchumi na kuendeleza wananchi.

Anadai wanataka kuzalisha umeme wa kutosha ili tuweze kuuza nje km south africa na kenya, anadai malighafi zipo nyingi sana kama upepo wa singida, jua, maji, gas nyingi, bahari na gas nyingi chini ya bahari, anadai Tz itakuwa ni miongoni mwa nchi inayouza gas nyingi dunia.

Kwa hiyo sasa tutaanza kuuza umeme nje.

Mswahili bwana!

Ndoto ya kuuza umeme wakati hata mgao mpaka leo unaendelea?

Nadhani waliokaa naye hapo wanaogopa tu kumkatalia live lakini mioyoni mwao inawauma sana!

Huyu jamaa naona anatumia vibaya air time ya TV ya umma, wangeweka hata ZECOMEDI tungepata hela ya matangazo kuliko kupoteza huu muda na mtu anaye uza sura tu!
 
kuhakikisha uchumi unaendele kuwa tengemavu.
kasi ya uchumi kupanda
mfumuko wa bei kupunguzwa
deni la taifa lizibitiwe
uchumi kukua kwa asilimia 8
mapato ya serikali yafikie 19%
pato la wanaichi liongezekew mpaka $650
 
Pato liongezeka kutoka $345 mpka 650 dolar. Ndo malengo ktk kpnd cha miaka 5
 
Huyu naona chupi imembana ameshindwa kuvumilia maana 48 hours ndo zinayoyoma, anataka kuongelea hii issue kimipashomipasho ili ku justfy kuwa amewajibu maaskofu.

Shauri yake tumeambiwa akishindwa kuwataja tumdharau!

mhh mkuu ,ungeondoa neno chupi hapo,maana litaonekana tusi kwa mtu mzima. Jk hatufai lakini bado ni mtu so,ondoa neno ilo mkuu!
 
chekini mawaziri na wageni waalikwa woote wanafikicha mcho tu usingizi umewajaa wanajua jamaa anapiga porojo tuu hakuna lolote. wakati wa kampeni alitoa ahadi kibao hazitekelezeki hadi leo sasa anakuja na mipango ya kwenye karatasi ambayo najua itaishia hapo hapo dodoma
 
Anaongea mambo mazuri, inatakiwa sasa aje na Implementation Plan na Time Frame ya hayo yote anayoongea isijekuwa anajaribu tuu kujibu Bajeti Mbadala ya Mh. Zito na kuwalainishi wabunge wetu wa CCM ili hata mmoja asipinge bajeti ya serikali itakaposomwa
over his dead body
 
Back
Top Bottom