Rais Kikwete na mipango ya uchumi kwa Tanzania miaka 5 ijayo

:majani7::mwaaah::glasses-nerdy:Anasema anataka tuzalishe umeme wa kutosha ziada tuuze nnje, anadai malighafi tunazo ikiwepo upepo singida, gesi ni nyingi baharini.
 
Miundo mbinu,

Kuendeleza miundo mbinu ili kukuza uchumi na kuendeleza wananchi.

Anadai wanataka kuzalisha umeme wa kutosha ili tuweze kuuza nje km south africa na kenya, anadai malighafi zipo nyingi sana kama upepo wa singida, jua, maji, gas nyingi, bahari na gas nyingi chini ya bahari, anadai Tz itakuwa ni miongoni mwa nchi inayouza gas nyingi dunia.

Kwa hiyo sasa tutaanza kuuza umeme nje.
 
Naona amempa shavu Lowassa (gamba), eti nikisema kilimo muhushimiwa Lowassa asije akafikiri nimesahau mifugo, Lowassa naona anacheka.
 
jamani rais anapolalamika eti mboga hatuwezi kuuza maua yametushinda sasa nani ambaye ataongoza hii mipango km yeye analalamika? rais wa ajabu sana huyu kwa nini asiwe na mipango tekelezi sio hii ya porojo tu kwenye majukwaa
 
Dola mili 100 wahisan kuchanga il kujenga bandar ya mtwara, ikiwa serikal itachelewa.
 
jamani rais anspolalamika eti mboga hatuwezi kuuza maua yametushinda sasa nani ambaye ataongoza hii mipango km yeye analalamika? rais wa ajabu sana huyu kwa nini asiwe na mipango tekelezi sio hii ya porojo tu kwenye majukwaa
Mimi nashangaa anamlalamikia nani hata hivyo ameishazoea kulalamika ndio zake huyu kila saa kulalamika tu.
 
Miundo mbinu,

Kuendeleza miundo mbinu ili kukuza uchumi na kuendeleza wananchi.

Anadai wanataka kuzalisha umeme wa kutosha ili tuweze kuuza nje km south africa na kenya, anadai malighafi zipo nyingi sana kama upepo wa singida, jua, maji, gas nyingi, bahari na gas nyingi chini ya bahari, anadai Tz itakuwa ni miongoni mwa nchi inayouza gas nyingi dunia.

Kwa hiyo sasa tutaanza kuuza umeme nje.
Hii mipasho imetuchosha
 
P_Jun07_173049.jpg mtoto wa mkulima nae yupo
 
Sioni jipya, ni km zile ahadi za kampeni, anachofanya n kuorodhesha, et maji mijini na vijin wakat ubungo tu hapo issue.
 
Miundo mbinu,

Kuendeleza miundo mbinu ili kukuza uchumi na kuendeleza wananchi.

Anadai wanataka kuzalisha umeme wa kutosha ili tuweze kuuza nje km south africa na kenya, anadai malighafi zipo nyingi sana kama upepo wa singida, jua, maji, gas nyingi, bahari na gas nyingi chini ya bahari, anadai Tz itakuwa ni miongoni mwa nchi inayouza gas nyingi dunia.

Kwa hiyo sasa tutaanza kuuza umeme nje.
Najisikia kucheka
 
Anadai ataongeza viwanda nchini ili tuweze kuuza bidhaa zetu nje.

Safi sana, twende Mr President
 
Anaelezea, mpango wa maendeleo wa miaka mitano 2011/20012 - 2015/2016

Anasema,

Bajeti ya serikali kukaribia trilion 14.
SI AWAKAMATE KWANZA WEZI WA EPA,RICHMOND,KAGODA KAMA YUKO SERIOUS waliofilisi taifa letu la TZ, NAONA ANAFAGILIA MAFISADI KWA BURGET ZA KUTUIBIA TUU. HIZI BURGET BILA KUKAMATA WEZI NI NGONJELA TUU!!!!!!!
 
Hivi anahutubia bunge au ameamua tu kujitokeza kuuza sura kwenye TV? Ningekukuwa naanglia hiyo TV ninge mpiga na jiwe hapohapo kwenye TV!

Kwa kweli JK anaijua hii nchi, kumbe CDM ni waongo bana hawana lolote. Sikieni data za ukweli za mpango wa maendeleo wa mwenye nchi na mwenye madaraka ya dola bana
 
hii nchi ina utajiri mkubwa saaana lkn magamba wanalala tuuu. yaani hawa mawaziri wa jk sijui km wapo hapo kimawazo nadhani mawazo yoote yapo mnadani tu na jk anasoma km story tuu
 
Sioni jipya, ni km zile ahadi za kampeni, anachofanya n kuorodhesha, et maji mijini na vijin wakat ubungo tu hapo issue.
Yeye anafikiri kila wakati yuko kwenye kampeni kazi kutoa ahadi kila siku tutafanya hiki mara tutafanya kile. crapp
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom