The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Kikwete will never change
Anaelezea, mpango wa maendeleo
Anasema,
Bajeti ya serikali kukaribia bil 14.
Awapiga kijembe CDM, kwa lawama na kuuza sura twenye TV, kulalamikia kila kitu.
Anadai CDM wanafanya maandamano nchi nzima kutukana, hahaha nimeipenda hii,
mkuu vp? Mbona mi nimesikia Tbc1 kasema inakaribia tril.13.5 mwaka kesho inaweweza kufikia tril14. Sasa wewe mambo ya bil.14 yanatoka wapi?acha kumchakachua ww! Kwanza iyo unayosema bil14 ni asilimia 10 ya bajeti ya wizara ya ujenzi ambayo inafikia bil149. Mkuu kama haujui currency za Tanzania basi google kabla ya kuandika hapa maana bil14 hata kulipa mishahara ya walimu tu,haitoshi,je ndo bajeti ya Taifa? Jf is 4 Great Thinkers. Thanks mkuu.
Anasema eti CDM wanaandamana nchi nzima kutukana. Halafu Said Mwema na Vuai wanacheka
nani kakwambia mkuu hata hilo jengo hazitoshi kabisaa!Billion 14 zinatosha kujenga jengo la Benjamini Mkapa Pension Towers bila kuweka umeme na kupiga rangi. Labda dola au trillion hizo. Hata hivyo hesabu ni janga la Taifa. Pole
sio lazima kujibu kama hujui_kasome uelimike kwanzaBy the way hayuko hapo kuelezea bajeti, kwani hilo ni jukumu la waziri mwenye dhamana.
Bila shaka kilichomleta ni kutimiza agizo alilopewa kutimiza kabla ya saa 48 kwisha.
Anaelezea, mpango wa maendeleo
Anasema,
Bajeti ya serikali kukaribia trilion 14.
we ujue kakosa usingizi mwenye nyumba hahahah mengine usijiulize!Mmh! Nafikiri raisi pia awe makini kwenye kuzungumzia CDM maana kuna mawili hapa: ukiona mtu anamzungumzia sana mtu mwingine ujue either anamkubali sana au anamkera sana sasa sijui kwa JK CDM wana effect hipi kwake kati ya hayo mawili.
Mmesahau kama JK anapenda mipashoAnasema eti CDM wanaandamana nchi nzima kutukana. Halafu Said Mwema na Vuai wanacheka
Anaelezea, mpango wa maendeleo wa miaka mitano 2011/20012 - 2015/2016
Anasema,
Bajeti ya serikali kukaribia trilion 14.
Inaonekana CDM wanamkereketa sanawe ujue kakosa usingizi mwenye nyumba hahahah mengine usijiulize!