Rais Kikwete, Mstaafu Rais Mkapa wawasili Songea

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa na mkewe, na Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa nyakati tofauti wametua jana katika uwanja wa ndege wa Ruhuwiko Songea kwa ajili ya kuhudhuria shughuli za Jubilee ya Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Songea Mhashamu Norbert Mtenga.


8500981.jpg 3770868.jpg


sasa jana kukawa na uzushi kuwa Msafara wa Raisi umepata jari DODOMA,bado sipati picha kamili songea alikwenda saangapi?


 
Anatakiwa atuombe radhi kwa kutuingza kwenye dhambi ya udini,anajaribu kupaka mafuta juu ya kidonda hicho lakin dhambi hyo lazima imuhukumu,shame on you.
 
Nashukuru kuwa wameenda kwenye ibada ya askofu Mtenga. Hicho ni kichwa kilichoenda shule na kilichotulia. Tusubiri jinsi atakavyoipasha serikali ukweli wa mambo kuhusu kamata kamata na mauaji ya raia. Napenda niisikie ibada hii na ninaombea irushwe na radio maria.

Mungu mbariki Askofu Mtenga ili asimame katika kweli kama ilivyo kawaida yake. Aseme bila hofu na akemee ili nuru iwepo.
 
Back
Top Bottom