Rais Kikwete kwanini hufuati nyayo za Rais mstafu Mkapa?

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
Wakati wa uongozi wa rais mkapa aliweza kutumia madaraka aliyopewa pamoja na kuvitumia vyombo vya dola kwa kuviamrisha vifanye kazi za ziada ,kinachonishangaza rais wetu kikwete unashindwa nini?Mkapa kwa ujasiri wake aliweza kwa muda wa masaa kuamrisha jeshi na polisi kwenda pemba kuzima mandamano na sio pemba tu hata hapa Muembe chai alifanya hivyo hivyo na baada ya hapo aliongoza Nchi vile alivyo taka, naimani kubwa sana ikiwa utafikia hatuwa kama aliyofikia rais mkapa itakusaidi kuzuwia aina yeyote ya mandamano na migomo katika hiki kipindi chako cha uongozi kilichobakia ,imani yangu kwa kufanikisha hilo ni vizuri kuwatumia wale wanajeshi waliofanikisha zoezi la kule pemba na hapa Muembe chai.
 
jk hafundishki jamani,katba ingekuwa ina ruhusu mkapa angepewa nch tena,wat wamekata tamaa na ****** jaman
 
Wakati wa uongozi wa rais mkapa aliweza kutumia madaraka aliyopewa pamoja na kuvitumia vyombo vya dola kwa kuviamrisha vifanye kazi za ziada ,kinachonishangaza rais wetu kikwete unashindwa nini?Mkapa kwa ujasiri wake aliweza kwa muda wa masaa kuamrisha jeshi na polisi kwenda pemba kuzima mandamano na sio pemba tu hata hapa Muembe chai alifanya hivyo hivyo na baada ya hapo aliongoza Nchi vile alivyo taka, naimani kubwa sana ikiwa utafikia hatuwa kama aliyofikia rais mkapa itakusaidi kuzuwia aina yeyote ya mandamano na migomo katika hiki kipindi chako cha uongozi kilichobakia ,imani yangu kwa kufanikisha hilo ni vizuri kuwatumia wale wanajeshi waliofanikisha zoezi la kule pemba na hapa Muembe chai.

JK ni rais wa watu mskivu hana haja ya ubabe wala ukatili kama alivyokuwa Chinga boy; ndo mana kuna uhuru mkubwa sana wa vyombo vya habari - enzi za mkapa kwa Jf ilivyo sasa ingekuwa ishafungwa
 
Kumbuka hata jk alipolihutubia bunge mzee wa viwango na standard alimshauri kuwa inampasa awe mkali kidogo.
 
Back
Top Bottom