Rais Kikwete kwanini anatembelea Iringa mara kwa mara?

watanzania wambumbavu sana raisi akienda nje ya nchi mnalalamika akija kuwatembelea mikoani mnalalamika akikaa ikulu tu bila kutembea mnalalamika
 
Siku ya maji kitaifa ni iringa ndio maana amekuja iringa


pia si mlisema mbeya nchi na rais sugu sasa aje uko wakati hamja mpa viza
 
Anamiliki jengo la ghorofa 4 hapa ni jipya linaelekea ukingoni kumalizika alikuja kulikagua na pia ana bi mdogo,lakini kulikuwa kuna idadi ndogo sana ya wananchi tulioenda kushuhudia maadhimisho hayo

Mwe! yale yale ya Malima! Like father like Son! Basi mimi kuniudhiiii!!!!!!
 
Haya ni majungu mwanzo mwisho kwa lugha ya mtaani ni kupakana matope. Wandugu tusiseme mambo kwa reference za vijiweni. Wasimuliaji wa vijiweni wanakua wamepata jani hivyo wanaelezea ndoto zao.chukua taadhari.

Sasa teremka na ukweli basi! ukikaaa kimya maana yake ndo hivyohivyo. Yale yale ya G.W.Bush na safari zisizokoma Bongoland!
 
siasa za kwenye mitaro ya kupitisha maji taka zina wenyewe ukichimba zaidi utatukanwa matusi ya nguoni. Kama huyo mama sio mke wa mtu haina shida mbona Dk. Slaa ana hawala ambaye bado ni mke wa mtu ambaye ndoa yake haijavunjwa lakini anavinjari na kamanda Slaa.

Tuwaache wazee wetu kama wamepata vipumzikio baada ya kazi ngumu za kujenga taifa ili mradi hawavunji sheria na katiba

Chonde chonde siku hizi wanawaibia! Tumevumilia kwa machungu yaliyotokea Morogoro! Jamani iwe basi isijirudie tena!
 
watanzania wambumbavu sana raisi akienda nje ya nchi mnalalamika akija kuwatembelea mikoani mnalalamika akikaa ikulu tu bila kutembea mnalalamika

Hiyo ndo tabia asilia ya mwanadamu! Ndo maana waneni hunena:"MWANADAMU ALIYEZALIWA KWA KILIO, HUISHI AKILALAMIKA NA HUFA AMEKATA TAMAA".
 
Kuna tetesi za jamaa kumiliki toto la kiarabu, mtoto wa tajiri fulani hapa Iringa aitwae ASAS.
 
Kweli hizi ni Habari za vijiweni ambako jani lina*** lakini ni aibu kwa wewe uliyefuta ujinga kuzibeba na kuzileta hapa JF . Ni kweli kupuuza vyakula vya asili na kuendekeza vyakula visivyo watu wamedata hawajui hata wanachoandika ama kufanya kama ni cha maana MI NAMUOMBA MUNGU NISIWE MMOJAWAO
 
Jk ana mabibi wangapi? Walisema dadake rostam kamzalisha, vicky kamata nae kapiga, mtoto wa asas nae kazaa nae, jamani kwa hali hiyo hata huko nje anakoendaga anawamaliza
 
Kuna ubaya gani akitembelea Iringa mara nyingi? Huo mkoa ulishaanza kudidimia kiuchumi. Kuupigia debe na kuuweka mahali unapostahili sio kitu kibaya. Na si afadhali atembelee mikoani kuliko huko ulaya na marekani alikokuwa anashinda karibu kila mwezi? By the way maziwa ya ASAS matamu kweli na yanapatikana Iringa tu!
 
Haya ni majungu mwanzo mwisho kwa lugha ya mtaani ni kupakana matope. Wandugu tusiseme mambo kwa reference za vijiweni. Wasimuliaji wa vijiweni wanakua wamepata jani hivyo wanaelezea ndoto zao.chukua taadhari.

na wewe umejuaje kama haukuwa nao huko kwenye jani?Think twice bro!!umejuaje?
 
Mbona Dodoma nako anakuja mara kwa mara mnatakaje,
kwani hilo toto la kiarabu hawezi lihamishia magogoni?
 
Kwani hao Iringa ndio wameendelea kitu gani kuzidi Mbeya?Mie naona kutembelewa au kutotembelewa na raisi yote sawa tu kama kupigika wote wanyakyu na wahehe wanapigika kimaisha
 
ameoa mtoto wa assas wa kiwanda cha maziwa, monika mbega ndie alikuwa mshenga wa jk wakati anaoa ndio maana alitaka ampe ubunge, wakambambikizia kesi mwakalebela.
 
na wewe umejuaje kama haukuwa nao huko kwenye jani?think twice bro!!umejuaje?

kama ikiwa huwezi kujua jambo mpaka uwe mshiriki wa jambo lenyewe basi hakuna haja kukosoana wala kukaa darasani ukajifunza taaluma mbali mbali, mkuu na wewe angalia kwa jicho la tatu kabla huja...!!!???
 
Back
Top Bottom