Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,056
Asilimia kubwa ya watz ni CCM...kwahiyo kwenye hadhara yoyote lazima kijani itawale!!!Wazee wa CCM na sio wazee wa Dar es salaam, hawa ni maarufu kwa kuombaomba kwenye maduka ya wahindi kila ijumaa ndio maana JK lazima awaandalie posho zao za 5000 kwa sababu leo atawakosesha dili lao la kuombaomba madukani kwa wadosi.
Wazee wote CCM, Vijana wote CCM..., mimi na wewe CCM...viva CCM..live long!