omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,325
- 2,498
yeye ana uzoefu wa muda mrefu sana serikalini maana tangia alivyomaliza shule hajawahi kufanya kazi nje ya chama na serikali.Rais hata kama hajui katiba...ana advisers zake wengi tu...kuna maamuzi mengine kabla hajayatoa anawasiliana na AG ili kumpa ushauri wa kisheria..so hizi decisions zote hapa hajatoa yeye mwenyewe..kuna jopo la watu limekaa nae likamshauri kwa kila kona.... so kama maamuzi aliyofanya si sahihi maana yake sio tu yeye ni mzembe bali advisers wake wote ni mbumbumbu....
Kwa maana hiyo mara zote ameshuhudia watu wakiapa lakini matendo ya zaidi 98% ya waliokula viapo kulinda katiba either hawajawahi kuitekeleza au wamevunja kwa makusudi na hakuna kilichowatokea. Hivyo kwake inaweza kuwa ni formalities tu na upotezaji wa muda.