Rais Kikwete kushiriki kuwazika waliouawa Arusha?

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kawenye kaburi la aliyekuwa Waziri mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Marehemu Salum Juma Othman wakati wa mazishi yake yaliyofanyika huko Unguja jana mchana. Je, atashiriki kwenye mazishi ya hao waliouawa Arusha?

View attachment 19745
 
usiseme waliouwawa..SEMA ATASHIRIKI KWENYE MAZISHI YA ALIOWAUA ARUSHA?................akishiriki tu lazima tumwangamize pia kwani kikwete hana faida yoyote kuwa rais zaidi ya kuwa mbabaishaji na mhuni tu
 
Sioni mantiki ya yeye kufanya hivyo maana huo utakua unafiki!!Ataombolezaje na wafiwa wakati yeye ndo chanzo!
 
Akija Arusha tunamdedisha na yeye ili aone utamu wa kuuwa wenzake ulivyo!
 
Hivi nilazima kila msiba aende kuzika kwa gharama zetu?Nasikia hata Dr Remmy alitaka kwenda watu wake wakamzuia
 
Hivi nilazima kila msiba aende kuzika kwa gharama zetu?Nasikia hata Dr Remmy alitaka kwenda watu wake wakamzuia
.

Sio lazima ahudhurie kila msiba, lakini kiasili ni kwamba mtu wako anapofariki unatakiwa kuhudhuria mazishi. Ama sivyo, inatafsiriwa kwamba mkono wako umehusika katika kifo cha marehemu.
 
Mbeya alipigwa mawe yakamkosa, mwacheni aende arusha alete uchungu wa kinafiki wamwonyeshe jinsi gani walivyochoka na mambo yake.
 
Jamani aliyewaua wapigania uhuru ni rpc wa arusha kwa hiyo wakumwadabisha kwanza tuanze na rpc afu waziri wa mambo ya ndani ajiuzuru pamoja na igp mwema
 
AFU WAZIRI MKUU NAYE AJIUZURU COLLECTIVE RESPONSIBILITY KAMA YA MWINYI MIAKA YA 80's
 
Msanii kikwete!.....yaani tunaongozwa na mzimu wa majini ya sheikh yahaya yule sheikh wa waislamu?
 
kweli mmechanganyikiwa mlifikiri serikali haipo eee! na bado!

HIVI SERIKALI GANI UNAYO IZUNGUMZIA?
Serikali ambayo haijui wala kujali waajiri wake? give me a break! Hatuna serikali hapa ni genge la mafisadi ambalo lipo tu kuhakikisha lina mnyongelea mbali mwajiri wao mwananchi! Lakini kumbuka hata mnyama mdogo 'Paka' akibanwa sana na Binadamu humbadilikia na kumrarua kama chui! Time is very near!
 
Ahudhurie kwani kuna kiduku??? AU bongo fleva na mipasho?
 
HIVI SERIKALI GANI UNAYO IZUNGUMZIA?
Serikali ambayo haijui wala kujali waajiri wake? give me a break! Hatuna serikali hapa ni genge la mafisadi ambalo lipo tu kuhakikisha lina mnyongelea mbali mwajiri wao mwananchi! Lakini kumbuka hata mnyama mdogo 'Paka' akibanwa sana na Binadamu humbadilikia na kumrarua kama chui! Time is very near!

confused?
 
Back
Top Bottom