Rais Kikwete kuongoza maziko ya Regia Mtema!

Nafikiri tusipoteze mantiki ya hii thread kwa ajili ya kulijadili hili suala. Tumeshaona tayari kuwa kuna uhasama baina ya hawa watu. Tusubiri, labda huu msiba unaweza kuwaunganisha!

Uhasama??

Una uhakika unachokinena??
 
Nafikiri tusipoteze mantiki ya hii thread kwa ajili ya kulijadili hili suala. Tumeshaona tayari kuwa kuna uhasama baina ya hawa watu. Tusubiri, labda huu msiba unaweza kuwaunganisha!
Unaposema msiba huu unaweza kuwaunganisha kwani ni lini walitengana? au ni lini walikuwa pamoja?
 
Viongozi wa CDM waliangalie hiklo, JK anatafuta kujikweza hapa baada ya mambo mengi ya nchi kumshinda. CDM wasimruhusu JK ku-steal the show katika shughuli hiyo na wajaribu kumbana kidogo aonekane kama ni muombolezaji wa kawaida tu. CDM wajitahidi kuonyesha kwamba huu msiba ni wa familia ya Regia, Chadema na Bunge, kwa mpangilio huo.
yaani wewe ukiambiwa unafikiria kwa kutumia masaburi/kiungo chako nyuma apo katikati ni sawa kabisa.mijtu mingine bana.
 
JK anashiriki misiba mingi sana na kwa hilo mimi siwezi kubania kumpa hongera zake.

Bado sijapofushwa na unazi au itikadi za kisiasa hadi kutoona hata yale mema ambayo mtu uliye tofauti naye anayafanya.

Ni jambo jema kabisa lisilo na ubaya wowote ule.
je wajua sababu zake za kuhudhuria kila msiba? lord have mercy!
 
Viongozi wa CDM waliangalie hiklo, JK anatafuta kujikweza hapa baada ya mambo mengi ya nchi kumshinda. CDM wasimruhusu JK ku-steal the show katika shughuli hiyo na wajaribu kumbana kidogo aonekane kama ni muombolezaji wa kawaida tu. CDM wajitahidi kuonyesha kwamba huu msiba ni wa familia ya Regia, Chadema na Bunge, kwa mpangilio huo.
wewe ukifa unastahili kutupwa porini kama mbwa tu.
 
Viandishi vya kibongo utaviweza??

kamanda wa ukweli ,kwangu ni jemedari alithubutu na aliweza,alitumia jina lake halisi na kupresent mawazo yake bila woga na lengwalengwa na machoz kila nikickia jina lake r.i.p mpenz regia
 
Viongozi wa CDM waliangalie hiklo, JK anatafuta kujikweza hapa baada ya mambo mengi ya nchi kumshinda. CDM wasimruhusu JK ku-steal the show katika shughuli hiyo na wajaribu kumbana kidogo aonekane kama ni muombolezaji wa kawaida tu. CDM wajitahidi kuonyesha kwamba huu msiba ni wa familia ya Regia, Chadema na Bunge, kwa mpangilio huo.
wakuu,tuache bangi za kuvuta kwa kujificha kama huyu mwenzetu....ona sasa ilivomharibu akili.
 
Viongozi wa CDM waliangalie hiklo, JK anatafuta kujikweza hapa baada ya mambo mengi ya nchi kumshinda. CDM wasimruhusu JK ku-steal the show katika shughuli hiyo na wajaribu kumbana kidogo aonekane kama ni muombolezaji wa kawaida tu. CDM wajitahidi kuonyesha kwamba huu msiba ni wa familia ya Regia, Chadema na Bunge, kwa mpangilio huo.

Oooh My God!!!!! My brother are you real thinking? Is that how great Thinker does when they Think before they post anything?
Honestly we have not reached that far, that is sympathetic occassion and not politiacal occassion, you better think twice.
 
Bora iwe hivyo...tutegemee Slaa kuingia mitini!!

Rejao;

Binafsi sikumbuki kama nimewahi kujibu post yako yoyote.Hivi huwa hauna kitu kingine cha kuandika cha maana zaidi ya kila siku Dr Slaa na Chadema.Yani hata kama topic haihusiani utacomment unavyoweza.Okay,kuna freedom of speech,lakini sio kama kuna uhuru uutumie kusababisha noise.
 
Huwezi kusema haudhurii kila msiba halafu umsifie kwa kuudhuria msiba huu.

Haileti mantiki kwa upande wako, ni heri ungekubaliana na wanaosema anahudhuria kila msiba, hilo lingekusadia.

Unajionyesha ulivyo unstable.
 
Sawa Mangi, umeshinda kaka.
 
Back
Top Bottom