Rais kikwete kuna mambo anaweza kuyajibu vizur zaidi kuliko yale mengine

lonesome

Senior Member
Oct 10, 2010
195
64
Kuna mambo mengine tunakuwa tunamwonea tu mheshimiwa Rais Dr. Jakaya M. Kikwete. kitendo kile cha BBC kumuuliza suala la kwa nin nchi maskini na suala na umeme haikuwa haki kumuuliza rais.ye hayo mambo atayajulia wap?

kwan yeye ungu mpaka ajue kwa nin hatuna umeme wa kueleweka? kwani yeye atajuaje suala la umaskini wa nchi hii ya watu maskini ikiwa haufaham umaskin ni nin? BBC hamkumtendea haki kumuuliza mheshimiwa rais wetu mpendwa mambo kama hayo.tena mnatakiwa kutuomba radh kwa kumdhalilisha rais wetu akaonekana hajui, mbumbumbu,hafikirii n.k

hilo hatuwez kulivumilia. siku nyingine kama mtataka kumuuliza maswali muulizen maswali kama.
Q; mheshimiwa rais mpaka sasa unadhan umetembelea nchi ngap na ip ilikuvutia zaid?

A;...........
Q; mheshimiwa rais unadhan ni wanamusic gan na waigizaj ambao wanakuvutia sana hapa nchin na dunia kwa ujumla?na pia umepiga nao picha wangap katika hao?

A;...........
Q; mhe rais sherehe ngap ulizohudhuria na misiba ambayo unadhan utaikumbuka sana kwa namna ambvyo ulifurahia mapokezi na vyombo vya habari kukuonesha na kukutangaza?

A;.........

 
Kesharudi toka kuangalia bustani za nyanya huko Brazil? Kazi kweli kweli! Presidee Oyeeee.
Malima naye ang'oke hatuhitaji watendaji wababaishaji tz tumechoka
 
Nilipata taarifa kuwa jana usiku JK alikuwa Afrika Kusini na leo hii anakuja hapa Tanzania kisha soon ataenda kumzika BingU malawi
 
haya baba kweli wewe mtaalamu wa kejeli. hebu tuanze kufuatilia maisha ya baba mwanaasha tangu alipozaliwa au ikibidi tuwaulize kaka zake au wazazi ake, huenda alizaliwa safarini.
 
Back
Top Bottom