jioni hii... hajahutubia tu?
mpango wa Mungu haina maana ingine yoyote zaidi ya kuwa ni janga la asili halikwepiki. kuna ubaya gani hapo?
Kishaongea na wananchi, taarifa zaidi zitafuata. Kakutana na wahanga na kutoa pole kwaojioni hii... hajahutubia tu?
Now that you mention that kaneno wazamiaji, nimekumbuka kitu. Juzi juzi hapa kwenye taarifa ya habari tuliambiwa kuwa wazamiaji haramu kutoka Somalia wamekamatwa Arusha. Kwa nini serikali hii inakosa ubunifu wa kuwatumia kuzamia tunapopatwa na majanga badala yake tunaishia kuwafungulia mashtaka heroes hawa?
Ni suala la kuwa-dis'haramu na kuwatunza vyema for fyucha yuz. Wadau wa mikakati mnasemaje?
Ni Rais asiyekuwa makini.
Kumbuka kulitokea wafanyakazi wa mgodi kuangukiwa na kifusi nchi Mexico,Rais wa nchi hile alijumuika na waokoaji muda wote pale kwenye mgodi.
Lakini Rais wetu hupo Ikulu nakunywa kahawa ,kasubi maji yamepungua heti anazunguka na helikopta.Katoa msaada gani kwa wananchi wake?
Jana alikuwa wapi?
Rais wetu apendi kupata shida wala karaha na watu wake ,Ongera Rais kwa hilo we kaa Ikulu
kwanini asiutubie Jangwani ?

Kwa jinsi inavyoonesha hata jangwani kwnye hupajui ww!!!
unaufahamu vizuri uwanja wa Jangwani?. Jaribu kutembelea maeneo hayo then utanipa jibu kama kweli ni rahisi kuutumia huo uwanja kwasasa.