Rais kikwete kuchorwa kwenye zulia la kukanyagia kwa uchafu wake anastahili??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
hivi raisi wa nchi anapochorwa kwenye zulia la kukanyagia mns akili yake iko kama zulia lakukanyagia
je huyu mhe kumtuma mkewe apokee zulia lenye sura yake anastahili??
Kwenu wadau naomba maoni kablayakuwakilisha itv saa mbili ka sorobo tfdl
 
mama+a%2528kushoto%2529+akifurahia+picga+yenye+sura+ya+mume+wake+baada+ya+kukabidhiwa+na+Abdallah+Shariff.JPG
 
Nadhani hajui maana yake, yeye anajua ni zawadi tu, kazi kweli kweli
 
nadhani huyu jamaa ni katika watanzania wachache wenye akili waliogundua akili za huyu rais zimefanana na nini??
hope anastahili kufanan na zulia la kukanyagia chini nadhan akiliona atashtuka hadi niliowapa uraia wamenishtukia ajirekebishe
may be
 
mod embu tujaribu kumleta jf kama mgeni atupe akili alimfikiriaje jk
haya jamani ngoja nikaangalie simba akifungwa
 
du, usifikiri hivyo mkuu maana hicho kichwa kinatuwakilisha Watz wote (no matter we like it or not)! Sijui watakuwa wametengeneza nakala ngapi Mungu wangu
nadhani huyu jamaa ni katika watanzania wachache wenye akili waliogundua akili za huyu rais zimefanana na nini??
hope anastahili kufanan na zulia la kukanyagia chini nadhan akiliona atashtuka hadi niliowapa uraia wamenishtukia ajirekebishe
may be
 
Hilo ni la kutundika unanini wewe.
Kwa hio Mkulu ametundikwa halafu kuna baaadhi ya waliomtundika ndio wanaoongoza nchi kwa niaba yake......huoni bado ni utata??? hata kuchorwa kwenye leso sio sahihi hata kidogo unless kuna message you wish to convey....naomba tulaani kitendo hicho maaana huyu anawakilsiha Wabongo wote, so hata kama tungechorwa kwene zile za kuzuia naniniihiii tungefurahi? sikubali huku nikudhalilishana bana
 
Nyie, msiojua maana , hao kwenye picha wanalitazama nyuma hilo zulia, kwa nini?
 
Back
Top Bottom