Rais Kikwete awasili mjini Blantyre, Malawi kushiriki mazishi ya Mutharika

John Mtembezi!

HzfL4cwAAAABJRU5ErkJggg==
 
Hivi Benin inapakana na Malawi? Nahisi atlas tulizokuwa tunatumia shule ya msingi zilikuwa na makosa makubwa.
 
ila kikwete anadharau mbaya..huyu inabidi siku moja akirudi akute ikulu imetekwa.

Mkuu wa Kaya ni Chuma cha pua, inahitaji "ujasiri!?" wa hali ya juu ku'absorb' shocks anazokabiliana nazo kutokana na madudu ya wasaidizi wake.
 
[Q
UOTE=Ulukolokwitanga;3757198]Huyu jamaa JK kwa kula bata anatisha, akiwa Malawi lazima atafanya maombi utokee msiba sehemu nyingine duniani aende. Hapa alishindwa kwenda kumzika mkuu wa jesh
i mstaafu akatuma mwakilishi lakini Malawi hataki kutuma mwakilishi[/QUOTE]

Kajamaa kametuchosha hasa sisi makada lakini Mzee hapa umeweka kauongo kidogo,sijui ulitaka kunogesha kama ilivyo ada ama ni kwa kutokujua. Jamaa alihudhuria msiba huo Tarime mazee. Tuwe wakweli jamvini na si kurusha tu maadam upepo umeangukia huko.
 
Hivi Asinge weza kuwakilishwa na Makamu wa Raisi na yeye kutulia kutafuta ufumbuzi wa hili linaloendelea kwasasa?Hata kwa afya kusafiri hivi siyo vizuri achilia mbali gharama.

Afya gani should he care of? mbona nasikia tayari hamna kitu mle?imebaki tia maji tia maji tu?
 
Kweli sikio la kufa halisikii dawa ...

Hapa Jk akimjibu moja wa Follower wake

Benjamin Masige ‏ @Benjamin_Masige
@jmkikwete Is it true that umejibu suala la mawaziri wako kutakiwa kujiuzuru kufuatia ripoti ya #CAG kuwa ni "upepo tu wa kisiasa"?

10m Jakaya Kikwete ‏ @jmkikwete

@Benjamin_Masige Ni lini, mahali gani na chombo kipi kilifanya mahojiano na kupewa jibu hili? Au unazungumzia tetesi tu?

Benjamin Masige ‏ @Benjamin_Masige

@jmkikwete Pole na safari!na mie nimeshangaa ndio maana nkauliza kama umesoma magazeti yetu ya kiswahili kwa siku ya leo hii mheshimiwa!

Hide conversation

9:53 PM - 22 Apr 12 via Twitter for BlackBerry® · Details
 
Mkuu wa Kaya ni Chuma cha pua, inahitaji "ujasiri!?" wa hali ya juu ku'absorb' shocks anazokabiliana nazo kutokana na madudu ya wasaidizi wake.
.

Jamani kwani amefungwa nao kwa super glue, katiba ina-mruhusu kumweka huyu na kumuondoa yule! Hofu na ushikaji ndilo tatizo kubwa linalolitafuna taifa letu.
 
BREAKING NEWS!!!!! Rais Jakaya Mrisho Kikwete atatembelea Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, ziara yake itakua ya siku mbili halafu atarudi kwenye shughuli zake za Kila siku za kuizunguka dunia. Katika ziara hiyo atatembelea ikulu ya Dar es Salaam na kupita barabarani huku akipungia na kuchekacheka. Wananchi wa Tanzania wanashauriwa wajitokeze kwa wingi barabarani kwa nafasi hIi ya kumuona maana haijulikani ni lini tena anaweza kutembelea nchi hii.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Benjamin Masige ‏ @Benjamin_Masige
@jmkikwete Is it true that umejibu suala la mawaziri wako kutakiwa kujiuzuru kufuatia ripoti ya #CAG kuwa ni "upepo tu wa kisiasa"?

10m Jakaya Kikwete ‏ @jmkikwete

@Benjamin_Masige Ni lini, mahali gani na chombo kipi kilifanya mahojiano na kupewa jibu hili? Au unazungumzia tetesi tu?

Benjamin Masige ‏ @Benjamin_Masige

@jmkikwete Pole na safari!na mie nimeshangaa ndio maana nkauliza kama umesoma magazeti yetu ya kiswahili kwa siku ya leo hii mheshimiwa!

Hide conversation

9:53 PM - 22 Apr 12 via Twitter for BlackBerry® · Details

chombo kipi kilifanya mahojiano na kupewa jibu hili? Au unazungumzia tetesi tu?
 
hv hata madaktari hawamshauri?, ataumwa huyu!
wanajeshi wetu vp hebu jaribun kupindua tuone km hajaacha kutalii!
 
Back
Top Bottom