Rais Kikwete Awashangaa Waliompokea kwa Vilio. Baadhi yao Wakamatwa

nashukuru mola kunishusha kwenye nchi hii TANZANIA naipenda nchi yangu , TANZANIA ni nchi ambayo haina utawala wa sheria SHERIA HAIFUATI MKONDO WAKE , hawa wananchi wanaoishi mabondeni sielewi kwanini wanadai fidia hawana haki wanajuwa na waliambiwa kwamba wasiiishi huko mabondeni tangu miaka 70 na kila masika yanawakuta , unakwenda kualazimisha kujenga sehemu isiyiruhusiwa kwa vile huheshimu utawala na mtawala akija unanmhonga uendele kukaa !!!! mvua ilipokuja hujaweza kuizuwia ,MIMI SIO KAMA SINA HISIA KWA WATHIRIKA BALI HAYA MAJANGA YA KUJITAKIA MAPAKA LINI ??? tutazungumza mjadala mrefu kwani umasikini , umechangia !!! nani kasema ukiwa maskini uvunjesheria tuwe watu wenye kubuni na kuchaguwa maisha bora na ya uhakika na tusiwe kila siku kuitupia lawama serikali ,jiulize wewe kama mtazania umefanya nini kwa TAIFA lako badala kungoja TAIFA kukupa , MABONDENI MAJI YATAKAUKA NA WATU WATARUDI MABONDENI NA SERIKALI ITAFUMBA MACHO YAO KWA KUWACHA BENDERA ZA CHAMA ZA SIASA KUPEPEA
 
wengi hawakukuangusha ndugu! Bali ni watu wanojiita usalama wa taifa ndio waliiba kura, kwahiyo walilie hao walioibiwa kura zao na wanaendelea kunyanyaswa. cha msingi tutafute njia mbadala ya kuwaondoa ccm maana naanza kupoteza imani ya kuwaondoa ccm kwa sanduku la kura ila nafikiri kwa staili ya misri, tunisia na hata libya hapa itakuwa rahisi sana maana hata wanajeshi nao wameichoka ccm.

sanduku la kura, ni geresha ya ccm. Kwa katiba hii inayoandaliwa kihuni ya misri, tunisia na libya hayakwepeki!!!.
 
tubadilisheni safu nzima ya uongozi.jk anaweza kuwa ni kiongozi mzuri lakini yumo ndani ya chama kisicho watakia mema wananchi.ccm yoote ni corrupt na haina tena huruma na wananchi,viongozi wake wote si watendaji tena bali ni wachumia tumbo.ccm haina budi kung'olewa madarakani through violence sababu non-violence tayari imesha prove failure.

tusubiri wakati. Kwa kura wataiba tuu! Tunisia style inatosha.
 
"Kasi zaidi, ari zaidi na nguvu zaidi", "Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele". Chama Cha Magamba (CCM) hoyeeee!!!.
 
Watanganyika wenzangu,hili changa la macho mpaka lini rais na hoja zake za nitoke vipi tumekwisha zigundua,haiwezekani rais hajui mpango mzima kuhusiana na mgawanyo wa viwanja.Ifike hatua watawala wawe wakweli kwa wananchi wao.Rais anashangaa,inaingia akilini wakati watendaji wake wanakwenda kinyume?Ndo maana kwa udhaifu alionao swahiba wake anamdhihaki kuwa hana ubavu wa kufanya maamuzi magumu.watu wanacheza na maisha ya watanzania yeye anacheka tu,this is too much!
 
Watanzania tunaishi kwenye nchi yetu kwa taabu mno

RIP Dada Regia Mtema

Wakidanganywa na t-shirt, kofia, khanga na ubwabwa hizi shida zote wanasahau na kuendelea kuchagua viongozi wajinga wasio wasaidia
 
Sijaelewa hizi kelele. Ulikuwa na chumba cha kupanga..... sasa unalilia kiwanja? Au issue ni nini?
Na kwa upande wa CDM (poleni na msiba), hao wananchi wenye mabango wana hatimiliki ya viwanja vyao? Kama wanazo si waende mahakamani?
 
viongozi katika ngazi za chini ndio wanaomwangusha raisi kikwete katika kutekeleza majukumu yake kitaifa,wapo kinafki wanataka waonekane wachapa kazi wakati ni wavivu wa kutupwa
 
viongozi katika ngazi za chini ndio wanaomwangusha raisi kikwete katika kutekeleza majukumu yake kitaifa,wapo kinafki wanataka waonekane wachapa kazi wakati ni wavivu wa kutupwa

Rais mwenyewe ndo anajiangusha kwani anaandaa timu ya kufanya nayo kazi, yeye kawa kilaza kaandaa timu kilaza so ngoma kwetu full kujuta
 
Back
Top Bottom