unashangaa ajira?
shangaa na hili.
sita ni mstaafu serikali
mstaafu kituo cha uwekezaji.
mstaafu mbunge awamu zilizopita.
mstaafu spika.
sasa anasubiri kustaafu uwaziri.
na bado yupo hai huko mbele hatujui atakuwa nani,na zingatia baadhi ya vyeo unapewa nyumba,gari na ulinzi mapaka anaingia kaburini.
huyo ni mmoja tu kati ya viongozi kibao wa ccm,na katika dunia ipo tanzania peke yake.
Nimekubali ndugu yangu , hao akina Luhanjo tunazaliwa mpka tunakuwa watu wazima bado tu hawajafikisha umri wa kustaafu, na wengine wengi, sijui wao umri wa wao kustafu ni miaka mia 100?