Rais Kikwete ateua makatibu wakuu wa wizara

ukiwa katibu mkuu ofisi ya Rais ikulu inafahamika ndio katibu mkuu kiongozi au siku hizi imebadilika ni watu wawili tofauti?
Luhanjo si alikwenda kwa waziri mkuu?? au alirudishwa tena?
Nakumbuka mwaka jana jamaa alihamishiwa ofsi ya PM PiNDA
 
Mbona imemchukua muda mrefu kiasi hicho kuteua makatibu wakuu!!!! Na Wakuu wa Mikoa na Wilayaje??.

Kuwa muelewa alichofanya ni kujazia zile zilizo kuwa wazi na kuhamisha baadhi. Kwani umepungukiwa nini kwa yeye kutoteau wakuu wa wilaya na mkoa ? au ndio ulikuwa wasubiria na ww mzee
 
shuffling the pack is not change any sane person can believe in..............................
 
Lakini tukumbuke kuwa mtu kama Luhanjo ana power kubwa sana kumpita hata JK kwani huyu jamaa ndiye amemuweka ukatibu mkuu mama Nyoni kisa Mbena kwani jamaa ni mkabila kichizi hata Nehemia kumpa u-CEO pale NHC wakati jamaa hata kwenye interview hakuwepo kisa ana element za kibena. Hii yote ni kutokana na kuuzidiwa nguvu mkuu wetu jk na bw luhanjo kwa yuko aged na ndiyo maana anapoteza kumbu kumbu na kumpa wrong advise president jk so wana JF kutakuwa na jipya kwenye sirikali ya mkwere kwenye safu muhimu ya makatibu wakuu.
 
<br />
<br />
Nafasi ya Luhanjo inakwenda kwa George Yambesi aliyekuwa katibu mkuu Menejiment ya U/umma pia ndiye alikuwa kaimu katibu mkuu kiongozi,ukiangalia kule menejimenti kapelekwa mwingine na hawajasema Yambesi anakwenda wapi,hii ni habari ya jikoni kabisa

Mkuu soma vizuri menejiment ya utumishi hajahamishwa katibu mkuu

namfahamu Bwana Hussein A. Kattanga ni mchapakazi na anauwezo mkubwa sana tangia alikuwa mkurugenzi - wilaya ya Mbinga akahamishiwa Kindononi then akawa RAS Singinda (i think). nakubaliana na uteuzi wake
 
Lakini tukumbuke kuwa mtu kama Luhanjo ana power kubwa sana kumpita hata JK kwani huyu jamaa ndiye amemuweka ukatibu mkuu mama Nyoni kisa Mbena kwani jamaa ni mkabila kichizi hata Nehemia kumpa u-CEO pale NHC wakati jamaa hata kwenye interview hakuwepo kisa ana element za kibena. Hii yote ni kutokana na kuuzidiwa nguvu mkuu wetu jk na bw luhanjo kwa yuko aged na ndiyo maana anapoteza kumbu kumbu na kumpa wrong advise president jk so wana JF kutakuwa na jipya kwenye sirikali ya mkwere kwenye safu muhimu ya makatibu wakuu.

hizi pumba kabisa ndiyo maana wabongo hatuwezi kupata maendeleo
 
Back
Top Bottom