Elections 2010 Rais kikwete atabakia kuwa mwenyekiti wa ccm: Hana la kupoteza!

Mtaka Haki

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
492
149
Watanzania wenzangu. Nimegundua kuwa wengi wetu tunapiga kura kwa huruma kwa sababu tumekuzwa na kuelelewa kwa kuhurumiana. Kila mmoja wetu amegundua hasa baada ya mdahalo wa jana kuwa rais wetu amechoka na hata amekiri hivyo.
Kwa kuwa bado atabakia kuwa mwenyekiti wa CCM bado hicho ni cheo kikubwa na cha heshima.
Kwa hiyo wale mliokuwa kama mimi. ( Wenye kumhurumia na kumpenda). Basi tumpe Slaa kura ya Urais na yeye atabakia kuwa mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi chama kikubwa na kikongwe.
Yeyote anayempenda rais wetu kama mimi hatapenda kumtwisha tena mzigo mzito wa miaka mitano.
NAFARIJIKA KUJUA KUWA ATABAKIA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA TAIFA HATA AKIKOSA URAIS.
 
NAOMBA WATAKAOHUTUBIA MKUTANO WOWOTE LEO WATOE MANENO HAYA YA FARAJA KUWA MH DK. Jakaya Kikwete ataendelea kuwa mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa na hii ni kwa nchi nzima. Watu wengi hasa vijijini watafurahi kujua kuwa hatapoteza kila kitu.
 
Back
Top Bottom