Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,129
JOB TRUE TRUE... (kazi kweli kweli!)
#CCM wamesha piga bao mkuu hiyo proposal yako inaamanisha suala la kurekebisha katiba litahama kutoka CCM kuja CDM watu wapo busy wanatafuta credibility za 2015 tumefanya hivi na vile sasa CCM wao watasema tumerekebisha sheria wanachelewa hii hoja isipokwe na watu wengine. Sasa kama CDM wamedhamiria kidhati washiriki kikamilifu kupeleka maoni yao kwenye tume na pengine kuna na some sort of evidence ili kama haikufanyiwa kazi wananchi waamue hiyo siku ya siku (2015).
Kwa ufupi muswada umeshasainiwa na sasa umeshakuwa sheria.
Du!. Nilijua alishausani ile Jumapili asubuhi kabla ya kukutana na Chedema!.
Kitendo cha kuusaini leo, ni uthibitisho kuwa JK ni rais msikivu na tena amewageshimu sana Chadema hadi kuwasikiliza kwanza kama wana hoja za msingi ndipo akausaini!.
Maadam umeshasainiwa, kazi sasa ni moja tuu, tuipe tume ushirikiano stahiki tupate katiba bora na sio bora katiba!.
Na wka upande mwingine asingeusaini, ingekwua vigumu sana kwa maoni ya Chadema kuingizwa kwenye shweria. Hivi sasa ameusaini, ni trahisi sana kuurudisha tena Bungeni ili ufanyiwe mabadiliko (amendments). kama angeurudisha kabla ya kuusaini, ni kweli ingezusha tafrani miongoni mwa wabunge wa CCM na wale waliouunga mkono muswada. hapa amewapiga bao la kisigino wabunge wake mwenyeweGuys this is politics. Hivi kuna mtu yeyote mwenye akili yake alidhani kuwa JK hatasaini muswada ule?. Asinge saini angewasha moto mkubwa sana na wabunge wake wa CCM waliokuwa wakitoa povu ili kuwakomoa CDM...
Yani kama si haya madudu ya ufisadi,huyu jamaa hata mimi ningemfagilia mbaya sanaa...!....# hakunaga Rais mwingine kama wewe, hakunaga!
....# hakunaga daktari mwingine kama wewe, hakunaga!
....# oya oyaa, kaa ukijua starehe ni gharama!!
.....# unibebe, unibebe, unibembeleze.....
Ikisha kuwa sheria ndio imetoka mkuu wangu, muda wenyewe uko wapi na huko Bungeni nambie hata kipengele kimoja cha sheria wabunge wa CCM hawakubaliani nacho maana kura ndio zitaweza badilisha lolote.Na wka upande mwingine asingeusaini, ingekwua vigumu sana kwa maoni ya Chadema kuingizwa kwenye shweria. Hivi sasa ameusaini, ni trahisi sana kuurudisha tena Bungeni ili ufanyiwe mabadiliko (amendments). kama angeurudisha kabla ya kuusaini, ni kweli ingezusha tafrani miongoni mwa wabunge wa CCM na wale waliouunga mkono muswada. hapa amewapiga bao la kisigino wabunge wake mwenyewe
Hivi Simba akikamata mawindo yake anataka mbwembwe? Fisi mwenyewe anauwawa kwenye process ili kuweza kuleta utulivu!(Sijawaita CDM Mafisi)Hakuna mbwembwe Mkuu
Well elaborated. Wengi hajaliangalia suala hili kwa sura hiiKatika thread ya jana iliyosema"Re: Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa! ", niliandika ifuatavyo:"Ukisoma katikati ya mistari utagundua kuwa kuna mambo hawakutaka kuyaweka wazi; lakini mimi naona rais amekubali kurudi hatua fulani nyuma. Ukisoma kifungu cha kwanza; ina maana kwamba bunge kupitisha siyo mwisho, bado kuna nafasi ya kuboresha, baada ya rais kusaini ali mradi utumikaji wa sheria uwe haujaanza. Maboresho hayo yatakuwaje ndipo tunakuja kifungu cha pili kwamba mawasiliano na mashauriano kati ya serikali na wadau mbalimbali juu ya kuboresha sheria hiyo yafanyike. Hapa wadau si ndio sisi - wananchi, jukwaa la katiba, dini mablimbali, NGOs wasomi nk. Hii ni diplomatic language kwamba rais amekubali maoni ya wadau mbalimbali yaendelee kupokelewa! Mnajua kwa vyovyote vile isingewezekana kuandika wazi kuwa muswada unarudishwa kwa wananchi, hii ingemcontradict rais straight ukifikiria yale aliyozungumza na wazee wa dsm. Lakufanya sasa sisi wadau kwa makundi yetu mbalimbali tuwasilishe hoja za kuboresha sheria hiyo.Kumbuka hapa inaongelewa sheria, maana yake rais atakuwa ameshaisaini na kitakachofanyika ni serikali kuwasilisha bungeni muhtasari wa marekebisho kutegemea na hoja tutakazotoa sisi wadau - na hili ndilo Lisu aliliongelea isipokuwa sasa badala ya wadau kurudishiwa muswada uliosomwa kwa mara ya kwanza, tunarudishiwa sheria ili mawazo yetu yatumike kuiboresha kabla haijaanza kutumika. Kama kweli rais atakuwa tayari (kama siyo usanii) kuiambia seriakali yake kuwa mawazo yetu yaingizwe kwenye marakebisho then tutakuwa tumefaulu. "Ilikuwa wazi basi kuwa muswada utasainiwa then marekebisho yafanywe kwenye sheria kabla haijaanza kutumika.
#
Mkuu hoja si kuanzisha bali ni kupata katiba bora. Kama hatutopata katiba bora mchakato huu utarudiwa sooner or later. Sidhani kama katiba mpya itapunguza makali ya maisha kwa wananchi kuelekea 2015.
Du!. Nilijua alishausani ile Jumapili asubuhi kabla ya kukutana na Chedema!.
Kitendo cha kuusaini leo, ni uthibitisho kuwa JK ni rais msikivu na tena amewageshimu sana Chadema hadi kuwasikiliza kwanza kama wana hoja za msingi ndipo akausaini!.
Maadam umeshasainiwa, kazi sasa ni moja tuu, tuipe tume ushirikiano stahiki tupate katiba bora na sio bora katiba!.
Si kweli
So funny!!!!!!!!!!!!!UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Novemba 29, 2011, ametia saini Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011.
Hatua hiyo ya Mheshimiwa Rais kutia saini Muswada huo inakamilisha safari ya kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011 baada ya Bunge kuwa limepitisha Muswada huo uliowasilishwa na Serikali katika kikao kilichopita cha Bunge.
Aidha, kutiwa saini kwa Muswada huo ili uwe Sheria ni hatua kubwa na muhimu katika safari ya kutungwa kwa Katiba mpya ya Tanzania kama ilivyoahidiwa na Mheshimiwa Rais Kikwete katika salamu zake za Mwaka Mpya kwa wananchi Desemba 31, mwaka jana, 2010.
Pamoja na kutiwa saini hiyo bado Serikali itaendelea kusikiliza maoni na mawazo ya wadau na wananchi mbalimbali kuhusu namna ya kuboresha sheria hiyo.
Hivyo, Mheshimiwa Rais Kikwete anatoa wito kwa mwananchi yoyote mwenye maoni ama mawazo ya namna ya kuboresha Sheria hiyo, ajisikie yuko huru kutoa maoni yake na Serikali itasilikiza na kuchukua hatua zipasazo.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
29 Novemba, 2011
....# hakunaga Rais mwingine kama wewe, hakunaga!
....# hakunaga daktari mwingine kama wewe, hakunaga!
....# oya oyaa, kaa ukijua starehe ni gharama!!
.....# unibebe, unibebe, unibembeleze.....
Pamoja na kutiwa saini hiyo bado Serikali itaendelea kusikiliza maoni na mawazo ya wadau na wananchi mbalimbali kuhusu namna ya kuboresha sheria hiyo.
Hivyo, Mheshimiwa Rais Kikwete anatoa wito kwa mwananchi yoyote mwenye maoni ama mawazo ya namna ya kuboresha Sheria hiyo, ajisikie yuko huru kutoa maoni yake na Serikali itasilikiza na kuchukua hatua zipasazo.