Rais Kikwete anamhujumu waziri Magufuli?

Nakubaliana na wewe lakini si kwa tiketi ya CCM.
As longer as atashika nchi kwa tiketi ya chama hiki mambo ya Longolongo yataendelea kama kawa.
Asante sana. Huu ndio ukweli wenyewe na ulio wazi kabisaaaaaaaaaaaaaa
 
Yani hapa ni ushabiki usiokua na mbele wala nyuma, ndio ushabiki huu huu uliomfikisha muungwana ikulu. Nani asiyejua kua wanasiasa wanatumia mitandao kufanikisha hila na nia zao. C MON guys mtanunuliwa mpaka lini? Magufuli alikua mhusika mkuu katika mchakato wa kuuza nyumba za serikali, the same guy alimpatia ndugu yake nyumba bila kufata maadili..Alichukua permit ya kujenga ngorofa na kujenga gorofa haraka kwenye nafasi iliyobaki katika kiwanja cha nyumba walizouziana za serikali. MAGUFULI, GIVE ME A BREAK....
 
ni kweli tuliyasikia sana hayo mwaka 2004/5 wakati tukielekea kwenye uchaguzi mkuu, tuliyasikia mengi kuliko hayo uliyoyaandika, pamoja na dhambi zake zote bado anaibuka mtendaji hodari kuliko mawaziri wooote waKikwete na hata wa serikali ya mkapa,
Magufuli baba pamoja na dhambi zako zooote , kwa utendaji wako nimekusamehe enenda kwa amani ya Bwana.
 
..kwa jinsi Magufuli alivyokuwa kinara wa ufisadi wa kuuza nyumba za serikali, na kiburi na ubabe alikuwa nao wakati wa kashfa ile, nahisi tunaweza kuingia ktk matatizo makubwa zaidi ikiwa atapewa mamlaka ya kuongoza dola nzima.

..Magufuli akiamua kuwaomba radhi wa Tanzania na kukubali kwamba uamuzi wake uliutia umma hasara za mabilioni, na zaidi akaamua kurudisha nyumba aliyojigawia, nitamkubali kama kiongozi wa kupigiwa mfano hapa Tanzania.

..WAPAMBE WA MAGUFULI MSHAURINI ARUDISHE NYUMBA ALIYOJITWALIA ILI KUJISAFISHA.
 
"According to Dr Magufuli, the private company is demanding over Sh800 million in storage fees. Already, the ministry has paid Sh1.2 billion for the service and the cost will increase until all the fish is taken" (by Festo Polea, sunday Citizen Newspaper) .

Kipenda roho ula nyama mbichi

Kama Magufuli ni msafi, kwanini yupo kwenye watch list kuhusu mausiano yake na Harco Bhagat?
 
Only time will tell..I'm out of here!
 
Nakubaliana na wewe lakini si kwa tiketi ya CCM.
As longer as atashika nchi kwa tiketi ya chama hiki mambo ya Longolongo yataendelea kama kawa.
akuunga mkono ile mbaya. Magufuli hawezi fulukuta in a dirty system. He needs to get out.
Natamani kumuona anajiunga na chama cha upinzani chenye mwelekeo.
 
Yani hapa ni ushabiki usiokua na mbele wala nyuma, ndio ushabiki huu huu uliomfikisha muungwana ikulu. Nani asiyejua kua wanasiasa wanatumia mitandao kufanikisha hila na nia zao. C MON guys mtanunuliwa mpaka lini? Magufuli alikua mhusika mkuu katika mchakato wa kuuza nyumba za serikali, the same guy alimpatia ndugu yake nyumba bila kufata maadili..Alichukua permit ya kujenga ngorofa na kujenga gorofa haraka kwenye nafasi iliyobaki katika kiwanja cha nyumba walizouziana za serikali. MAGUFULI, GIVE ME A BREAK....
Magufuli hakuamua yeye nyumba ziuzwe. Yeye kama Mzee marehemu Kawawa alikua mtekelezajitu wa maagizo ya Mkapa na wengine. Tafadhali. Magufuli yuko juu zaidi ya rais, waziri mkuu na mawaziri wote kuitendaji.
My advice is, ahame chama. Aende Upinzani na tashinda. If not, asubiri independent candidates wakubaliwe. Viva Magufuli
 
kunjygroup said:
Magufuli hakuamua yeye nyumba ziuzwe. Yeye kama Mzee marehemu Kawawa alikua mtekelezajitu wa maagizo ya Mkapa na wengine.

Kunjygroup,

..kama ni hayo unayosema ni kweli basi Magufuli arudishe serikalini nyumba aliyojitwalia.
 
..kwa jinsi Magufuli alivyokuwa kinara wa ufisadi wa kuuza nyumba za serikali, na kiburi na ubabe alikuwa nao wakati wa kashfa ile, nahisi tunaweza kuingia ktk matatizo makubwa zaidi ikiwa atapewa mamlaka ya kuongoza dola nzima.

..Magufuli akiamua kuwaomba radhi wa Tanzania na kukubali kwamba uamuzi wake uliutia umma hasara za mabilioni, na zaidi akaamua kurudisha nyumba aliyojigawia, nitamkubali kama kiongozi wa kupigiwa mfano hapa Tanzania.

..WAPAMBE WA MAGUFULI MSHAURINI ARUDISHE NYUMBA ALIYOJITWALIA ILI KUJISAFISHA.

Nakubaliana na wewe kabisa, ila unafikiri nani anafaa kwa urais CCM?? . Najua tunajadili fiction yenye reality fulani..
 
Jamani hii nimeipata kwenye chanzo kimoja cha uhakika mno; kwamba wale samaki wa magufuli walikuwa wanakwama kuuzika kutokana na hujuma za Raisi wa Tanzania JM Kikwete dhidi ya Dk Magufuli.
Chanzo hicho kimesema kwanza alijaribu kufunika na kudakia kazi ile ya kukamata jodari ili ionekane ni yeye aliyefanya lakini ikashindikana kwani watu waliendelea kumpongeza Magufuli tu.
Ndipo alipokuja na mbinu mpya lengo likiwa ni kumpunguzia umaarufu Magufuli ili aonekane alifanya zoezi la kamatakamata samaki Jodari kwa kukurupuka na zoezi zima limeiletea hasara nchi..kama kwaida yake Kikwete alitumia vyombo vya habari na "UWT". Lakini kwa bahati mbaya kwake Raisi, Magufuli alifanikiwa kujua mapema hila hizo na akazisambaratisha kwa hoja zenye busara mno, kama vile Serikali inapofanya kazi yake kwa kufuata sheria hakuna hasara, akatoa mfano wa "mwizi wa vitumbua anavyohudumiwa na serikali kwa gharama kubwa kuliko alichoiba"
Inasemekana hujuma za Kikwete na wanamtandao kwa ujumla dhidi ya Magufuli hazikuanza hivi karibuni, hofu yao kubwa ni kukubalika kwa Magufuli miomngoni mwa watanzania kuona ni hatari kwa mbinu zao(wanamtandao) za kurithishana Uraisi wa TZ.

Nasema, na narudia kusema......Habari hii haina ukweli wowote, ni ya kubuni tu, maana huu ni mwaka wa UCHAGUZI. JF isiwe mahali pa kuleta taarifa zisizo za kweli. Narudia, habari hii ni ya UONGO mtupu, amini usiamini.
 
Mtu wa kushine atashine tu,hata ukimuweka incharge wa ******. Unajua jamaa alifanya sana kazi hadi wakandarasi wakawa wanamhaha,lakini miundombinu kapewa homeboy sasa hivi hakuna kitu zaidi ya mduara pale...

Kama Magufuli angekuwa miundombinu Rites wangekuwa wameondoka muda mreeefu. Magufuli yuko juu sana kwa JK,yaani jamaa hawezi kumfunika kabisa. Anakubalika sana kwa wananchi....
 
Wakubwa,

Tuliangalie suala hili tofauti kidogo. Hakuna hujuma hapo. Hii ni mara ya kwanza kukamatwa kwa wavuvi Maharamia katika pwani na Tanzania. Kumuhusisha Rais katika suala hili ni kutokuelewa taratibu za ki-Mahakama zinavyofanya kazi. Katika utawala wa Kisheria kama ilivyo hapa kwetu Tanzania, suala likiwa Mahakamani haliingiliwi na yeyote isipokuwa Mahakama yenyewe.

Kwa Maana hiyo Rais hakuwa na mamlaka ya kulizungumza au kulichelewesha aua hata kulifuta mpaka pale Mahakama itakapokuwa imemaliza kazi yake. Jambo la msingi hapa kuepusha tatizo kama hili na mengine kama hayo siku za usoni ni kuangalia na kuzipa uwezo Mahakama zetu na ofisi ya DPP (Mkurugenzi wa Mashitaka) kuweza kusimamia kesi zake kwa haraka na kuweza kuzimaliza kwa wakati ha hapo tutakuwa tumeepuka kumtupia lawama yeyote na pia kuepuka kuwaweka Rais na Mawaziri wake kwenye mapambano ambayo ni ya kufikirika na kusadikika tu.

Hoja hapa ni uwezo wa Mahakama zetu kuendesha kesi kwa haraka na ufanisi ili kuweza kusimamia na kutoa haki katika jamii husika. Lakini si Mahakama pekee na jeshi la Polisi na Mwanasheria Mkuu na DPP wote wanahitaji kuwa na Raslimali watu na vifaa vya kuwawezesha kufanya kazi zao kwa wakati na kuweza kusimamia haki pale inapokuwa inastahili.
 
ulichonifurahisha ni wewe kujiregister humu jamvini ili kujadili hili swala tu, kisha ukasign off, saafi sana .,,,

Join Date: Tue Mar 2010
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
 
Nguvumali,

Kule kwetu huwa tunasema hivi:

" A journey of a thousand miles begins with a single step." Lao-tzu Chinese philosopher (604 BC - 531 BC)
 
Nasema, na narudia kusema......Habari hii haina ukweli wowote, ni ya kubuni tu, maana huu ni mwaka wa UCHAGUZI. JF isiwe mahali pa kuleta taarifa zisizo za kweli. Narudia, habari hii ni ya UONGO mtupu, amini usiamini.

kwanini unatulazimisha tukuamini wewe?? tuache tuchambue lipi la kweli lipi la uongo aliyekupa mamlaka ya kutuchagulia lipi la uongo na ni lipi la kweli amekudanganya
weye weka hoja hapa then tulinganishe na jingine tu think then tu conclude
FINITO
Magufuli yuko juu kila eneo hata kwenye vitoleo.
Kikwenye yuko juu kwa mambo ya anga maana kwa kusafiri hajambo, anajua kabisa magufuli ni Doctor na ni general doctor kila ugonjwa anatibu
 
hiki kitu kinahitaji ujasiri kukifikiria, na ukifanikiwa kukifikiria kwa mtazamo huu kweli unapata jibu.
binafsi nimewahi kufuatilia hili swala kwa kina , nakuziangalia sheria zetu hasa za UVUVI sehemu ya EEZ[EXCLUSIVE ECONOMIC ZONE]
hakika Magufuli alifanya kile ambacho sheria za Kimataifa za uvuvi katika ukanda huo wa kiuchumi ulimruhusu.,
kilichoshangaza ni kule mamlaka za kimahakama , ofisi ya Mwanasheria Mkuu, DPP zilivyokua zinaboronga kwenye swala zima, hadi ilifikia mahala Magufuli alitupiwa Zigo lote binafsi na yeye akaonekana kama msemmaji pekee wa sakata zima, huku mamlaka za kipolisi, jeshi na hata UWT zikiwa Kimya.
niliwahi kumsikia waziri huyu wa Uvuvi akilalamika kuhusu sakata lile lote kuelekezwa kwenye wizara yake.
mara zote Rais amekuwa mkimya , na ninasikia Wizara ya samaki na Mifugo ndo wamelipa gharama zote za utunzaji wa samaki hao kupitia bajeti yao ya kawaida.
nahisi upo ukweli kuna kukwamishana kwa faida za kisiasa.

hapa naomba nikubali kwamba BORA WATANZANIA TULE MAJANI, KWA KULIPIA KUHIFADHI HAO SAMAKI, KULIKO KUWAACHIA MAHARAMIA WATUHUJUMU NAMNA HIYO

hapa watatuona hatuna shida ati
samaki ni wetu kila elimu inalipiwa hata zikifika Billion 500,000 kuzihifadhi tutalipa tu tujenge heshima nyumbani.
Tuuze ngombe kwa kesi ya kuku poa tu
 
Back
Top Bottom