Rais Kikwete amteua DKT. Tulia Ackson kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
View attachment 286885

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Tulia Ackson kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuanzia Jumatano, Septemba 9, mwaka huu, 2015.

Kabla ya uteuzi wake, Dkt. Tulia Ackson ni Mhadhiri wa Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.


14 Septemba, 2015
 
Back
Top Bottom