Rais Kikwete amteua bwana Sisco kuwa Balozi

M

MegaPyne

Guest
Aliyekuwa mkuu wa itifaki Bwana Abdul Sisco amekuwa balozi mpya wa Tanzania Malyasia.

Rais pia ameteua mkuu mwingine wa itifaki.

Source: Ikulu, na habari zaidi tusubiri magazeti ya kesho!
 
Amepangiwa kituo cha kazi??? au ameteuliwa kuwa balozi???.

Halisi3rd May 2007, 10:29 AM
Kwanza baada ya Kalaghe kuna habari kwamba, Abdul Cisco Mtiro naye atapangiwa kituo, na huenda ikawa ni katika nchi za kiarabu. lakini Habari ni kwamba, Kalaghe alikua na uhakika wa kuula na kwamba alishawaambia watu kwamba asipopewa nafasi "ATALIPUA MABOMU" ya wakubwa. SIna hakika ni mabomu gani, lakini kama hivyo ndivyo basi ni hatari kwa MASLAHI YA TAIFA KAMA MTU ANAKU NA JEURI KAMA HIYO. TUKATAE, TUKUMBUKE ENZI ZA MWALIMU JK, ambaye hakukubali hata mara moja kuwa MTUMWA.

JAMBO LINGINE NAOMBA WANA JF MUNISAIDIE, Wale mabalozi waliotangazwa kuiteuliwa akiwamo bwana MAharange aliyehamishwa kutoka DRC, wameshaapishwa? kama bado kwanini? Kuna habari kwamba hawajaapishwa kwa sababu hawajateuliwa!!!! If that is true, again ITAKUWA INATISHA

Source:Halisi 3rd May 2007, 10:29 AM
Title of thread: PETER KALAGHE ATEULIWA BALOZI CANADA (baada ya kushindwa kupandisha website ya IKULU)

--------------------------------------------------------------------------------
 
Maharage ameshaapishwa ages ago na kisharipoti kituoni na ku present credentials zake....
 
Hongera sana Sisco. Mimi nakupongeza sana.

Lakini labda naomba kuuliza kidogo je kuna vigezo vyovyote vinavyotumika katika kuchagua mtu kuwa balozi?

Je mtu yeyote Tanzania anaweza kuwa Balozi?

Je kila mtu akipiga Mkwara akapewa madaraka, itakuwaje kama nafasi zitakuwa zimeisha? Si ndiyo mwanzo wa kushikana mashati?
 
halafu threads nyingine mbona siwezi kuziona zinasema nini sijui ask ze administrator, inakuwaje !

kama hamnitaki niambieni bana nibebe hamsini zangu na nyie mbebe 50 zenu !
 
halafu threads nyingine mbona siwezi kuziona zinasema nini sijui ask ze administrator, inakuwaje !

kama hamnitaki niambieni bana nibebe hamsini zangu na nyie mbebe 50 zenu !

Pole comrade..
Naona leo una siku mbaya
 
Aliyekuwa mkuu wa itifaki Bwana Abdul Sisco amekuwa balozi mpya wa Tanzania Malyasia.

Rais pia ameteua mkuu mwingine wa itifaki.

Source: Ikulu, na habari zaidi tusubiri magazeti ya kesho!
A well deserved appointment for a Civil servant of his calibre!
Mwanadiplomasia!
But what are the motives for bringing this to Jukwaa la siasa?
Curious?
 
A well deserved appointment for a Civil servant of his calibre!
Mwanadiplomasia!
But what are the motives for bringing this to Jukwaa la siasa?
Curious
?

Perhaps because this is the most viewed/ read thread than any other thread in this forum. Why, do you have a problem with it being here?
 
wee acha tu ! lakini nashukuru admn, yupo sharp na hapo kwa kweli nampa pongezi !

Unajua Kada haya maforum yako very addictive...wakati mwingine hujisikii vizuri usipodondosha maneno mawili matatu. Najua kuna watu sasa hivi bila haya maforum hawawezi ku-function vizuri....Lol
 
FNN, we ungewaona watu walivyokuwa na "withdrawal syndrome" mara baada ya JF kuwa down baada ya sakata la picha. Usiku ule miye napata message kutoka Dar (watu ndio wameingia tu ofisini) kutoka kwa watu fulani nyeti ambao wanauliza forum "yenu" iko wapi? Ati hawajui nini kinaendelea hadi waangalie JF.. this thing is addictive man..
 
nibebe hamsini zangu na nyie mbebe 50 zenu !

Najisikia (aka KadaMpinzani), vipi mbona unatupangia za kubeba, 50? Kama tunataka kubeba 100 je, au hatutaki kubeba kitu?

Anyway, just kidding! Endelea na 50 zako, mimi sibebi kitu nisijeitwa fisadi. LOL.
 
FNN, we ungewaona watu walivyokuwa na "withdrawal syndrome" mara baada ya JF kuwa down baada ya sakata la picha. Usiku ule miye napata message kutoka Dar (watu ndio wameingia tu ofisini) kutoka kwa watu fulani nyeti ambao wanauliza forum "yenu" iko wapi? Ati hawajui nini kinaendelea hadi waangalie JF.. this thing is addictive man..

nani kama mwanakijiji !

Yupo D-town lakini anaona watu hadi Bongo,yaani tokea wanatoka majumbani kwao hadi pale wanapoingia maofisini mwao ! wow ! how great !

(HALAFU MWANAKIJIJI WATU WAMEANZA LINI KUINGIA OFISINI USIKU BONGO/MCHANA WANAFANYA NINI ??) just asking !
Na mimi ntaonaje hao watu kutoka kwa joji hadi Bongo ?
 
Najisikia (aka KadaMpinzani), vipi mbona unatupangia za kubeba, 50? Kama tunataka kubeba 100 je, au hatutaki kubeba kitu?

Anyway, just kidding! Endelea na 50 zako, mimi sibebi kitu nisijeitwa fisadi. LOL.

heheee, usiwe na wasi wasi kuitwa fisadi, kwani after time utakuwa unazoea tu, ! hata idi amin alikaa kimya tu alivyoitwa DADA na mwalimu, he had to deal with it !
hehee, haya !
 
Rais Kikwete ateua Cisco, Biswaro mabalozi Malaysia, Brazil Na Mwandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete amewateua mabalozi wapya kuiwakilisha Tanzania katika nchi za Brazil na Malaysia.

Taarifa iliyotolewa jana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imesema kuwa rais amemteua Balozi Joram Biswaro kuwa balozi wa Tanzania nchini Brazil na Balozi Abdul Cisco Mtiro kuwa balozi wa Tanzania nchini Malaysia. Uteuzi huo utaanza mara moja.

Kabla ya uteuzi huo, Balozi Biswaro alikuwa Mkurugenzi Idara ya Asia na Australia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Balozi Mtiro alikuwa Mkuu wa Itifaki katika wizara hiyo.

Pia Rais Kikwete amemteua Anthony Itatiro kuwa Balozi na Mkuu wa Idara ya Itifaki katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Itatiro alikuwa Mnikulu katika ofisi ya Rais.
 
Back
Top Bottom