Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete amteua Bi. Juliet Rugeiyamu Kairuki kuwa mkurugenzi mtendaji wa TIC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Apr 22, 2013.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2013
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,869
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  MONDAY, APRIL 22, 2013


  [​IMG]

  MICHUZI

   
 2. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2013
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 63
  mmh! hivi bado uteuzi unaendelea?kila siku kuteua jamani? usisahau kurudia zile ziara zako za Wizarani ulizozifanya wakati umechaguliwa baada ya uchaguzi
   
 3. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2013
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,674
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mhh huo ukorofi sasa kwa mheshimiwa sana, mwenzako anaomboleza vifo vya wachina we unataka aende kwenye wizara
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2013
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 6,062
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 113
  Duuu sasa yule acting Mbilinyi anaenda wapi?au anabakia kuwa mkuregenzi fulani pale pale?Hongera Bi Kairuki!
   
 5. Ericus Kimasha

  Ericus Kimasha Verified User

  #5
  Apr 22, 2013
  Joined: Oct 27, 2006
  Messages: 432
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Kwa mujibu wa PPP Act, 2010 na PPRA Act, 2011 TIC ndiye msajiri wa miradi ya ubia wa PPP na mtathmini wa chambuzi yakinifu. TIC inaishauri Wizara ya Fedha kupitia kitengo kilichopo hazina iwapo kama miradi iidhinishwe na wabia waingie makubaliano au la.

  Uteuzi wa Bi. Kairuki una sura ya dhamira ya Serikali kuchochea zaidi miradi ya PPP. Hofu yangu kubwa sana dhidi ya PPP ni pale zinapogeuzwa dirisha salama la ubinafsishaji wa mali, huduma na mamlaka ya umma kwa wageni. Nachelea kusema kwamba makosa tunayoyafanya sasa yanaweza kuwa na athari kubwa zaidi ya yale yaliyofanyika katika zoezi la ubinafsishaji wa mali ya umma kama PPP za sekta muhimu zitaendelea kuwakumbatia zaidi wawekezaji kutoka nje ya nchi na wazawa kuwa vibarua tu.

  Hongera Bi. Kairuki. Ninakutakia utendaji, ufanisi na mafanikio katika utumishi wako.
   
 6. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2013
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,608
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 83
  mbilinyi ameteuliwa kuwa katibu mtendaji wa baraza la Taifa la biashara
   
 7. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2013
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,690
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 38
  Ok, noted with thanks!
   
 8. KULIKONI UGHAIB

  KULIKONI UGHAIB JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2013
  Joined: Dec 12, 2007
  Messages: 197
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 18
  Hivi nafasi hiyo si ilikuwa inashikiliwa na Ole Naiko (kama sijakosea)? What happened to him?
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2013
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 30,123
  Likes Received: 1,681
  Trophy Points: 113
  "Mwisho" /s
   
 10. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2013
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 6,062
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 113
  Ole alishastaafu na ameajiriwa na Barrick Mines kama mshauri wa mambo ya uwekezaji!nafasi yake ilikuwa inakaimiwa na Mbilinyi kwa zaidi mwaka 1
   
 11. F

  Fanto JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2013
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Ole Naiko alistaafu Mkuu.
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2013
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,344
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 63
  Tanzania tuna safari ndefu sana.
  Kama wewe unayejua kusoma na kuandika hujui maana ya UDINI, usaidiweje sasa?

  Kwamba ukimchagua mwislamu wakati wewe ni mkristo ndo inaonyesha wewe sio MDINI?

  Kwanza unapata wapi guts za kuangalia aliyechaguliwa kwa dini yake in the first place?

  Mitanzania mingine inafaa kuwa chakula cha nguruwe tu basi.
   
 13. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2013
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,771
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 63
  huyu sio ndugu na kairuki yule naibu waziri wa nini sijui? Au kaolewa na akina kairuki maana naona kuna Rugeiyamu na Kairuki hapohapo hebu nijuzeni
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2013
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,771
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 63
  Haswaa!
   
 15. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #15
  Apr 23, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 4,715
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 48
  Tunakumbushia meli ulituahidi wakati wa Kampeni Mkuu.....acha sister ale bata ila sie meli mbadala wa MV Bukoba tunasubiria bado
   
 16. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2013
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,010
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 38
  Hongera sana, nadhani atakuja na mtazamo mpya tukuze uwekezaji tanzania

   
 17. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2013
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kabla ya kuteua .........WATANGAZE NAFASI ZINGINE GAZETINI JAMANI ........... NASISI TU APPLY ......... yaani
  sijui NITATEULIWA LINI ???????????????? :biggrin::biggrin::biggrin:
   
 18. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2013
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,878
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 48
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bibi Juliet Rugeiyamu Kairuki kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC).
  [FONT=Georgia !important]
  Taarifa iliyotolewa leo, Jumatatu, 22 Aprili, 2013 mjini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Balozi Ombeni Y. Sefue, inasema kuwa uteuzi huo ulianza Aprili 12, mwaka huu, 2013.

  Bibi Kairuki ni Mwanasheria mwenye Shahada ya Kwanza na ya Uzamili kwenye sheria. Ni mtaalam wa miradi ya ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (Public Private Partnership). Kati ya mwaka 2002 na 2008 alikuwa Meneja wa Mradi wa Public Private Partnership Capacity Building in SADC, katika Chama cha Mabenki ya Afrika Kusini (The Banking Association South Africa). Kuanzia mwaka 2008 hadi sasa Bibi Kairuki ni Meneja Mkuu wa Idara ya Benki na Huduma za Fedha katika taasisi hiyo.

  "Mwisho"

  Imetolewa na:
  Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
  Ikulu.
  DAR ES SALAAM.

  22 Aprili, 201​
  3
  [/FONT]
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2013
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,735
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 63
  Jeikei anawapenda sana kina waitu au kina rizmoko na mvuta ngiba mir.aji wameoa huko? Au kuna bond kati ya wak.were na kina iwe boju?
   
 20. T

  Tata JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2013
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,155
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 48
  Hivi ikiwa kila uteuzi utaangaliwa kwa lensi ya ukristo au uislamu wale ambao siyo wafuasi wa hizo dini mbili ina maana hawana haki nchi hii? Kuna mamilioni ya watanzania ambao hawafungamani na hizo dini mbili na wana haki sawa ndani ya nchi yao hii. Jambo jingine ambalo wengi hamlizingatii ni kuwa nchi hii siyo kila mwenye jina la John ni mkristo na siyo kila Juma ni mwislamu.
   

Share This Page