Rais Kikwete amfunika 50 cent (Picha)

hahahaaa, kwa pooz tu utampenda prezidaa wetu lol 50cent naye angetabasamu kidooogo lol
 
............Wakuu hapa JF naomba nilete wazo binafsi hapa JF,natamani hizi picha siku moja tuzi-print zigawiwe kwa wananchi wakati wa mikutano ya hadhara ya chama chetu makini CDM..Jamani kwa wale watafiti wa mambo ya kisiasa ni rais gani aliyeweza kupiga picha na madada poa kama hao? ni rais gani anayeweza kujiraisisha kwa wanamuziki wa hiphop namna hii? Huu ni ushenzi na dharau kubwa sana kwa Taifa letu na hasa kwa watanzania,Huyu rais anatutia aibu watanzania,amekuwa akiraisisha sana kwa watu wasioeleweka...sasa kwa picha kama hizi ukisema rais wetu ni malaya tutakataa? Tuache ujinga watanzania jamani,huu ni ujinga usiopaswa kuvumilika hata kidogo kwa mtanzania yeyote aliye na akili timamu....
 
............wakuu hapa jf naomba nilete wazo binafsi hapa jf,natamani hizi picha siku moja tuzi-print zigawiwe kwa wananchi wakati wa mikutano ya hadhara ya chama chetu makini cdm..jamani kwa wale watafiti wa mambo ya kisiasa ni rais gani aliyeweza kupiga picha na madada poa kama hao? Ni rais gani anayeweza kujiraisisha kwa wanamuziki wa hiphop namna hii? Huu ni ushenzi na dharau kubwa sana kwa taifa letu na hasa kwa watanzania,huyu rais anatutia aibu watanzania,amekuwa akiraisisha sana kwa watu wasioeleweka...sasa kwa picha kama hizi ukisema rais wetu ni malaya tutakataa? Tuache ujinga watanzania jamani,huu ni ujinga usiopaswa kuvumilika hata kidogo kwa mtanzania yeyote aliye na akili timamu....

$1 = tzs.1650
 
mwacheni aoshe.naona kafanya makusudi mbwabwaje vizuri lol

Kama amefanya makusudi au anafanya makusudi basi;atakuwa ana matatizo ya akili,maana uwezi ukawafanya watanzania wajinga kwa kuwatia aibu kama hii..kwa kusema kuwa ulikuwa unawajaribisha uone watasemaje...agrrrrrrrrrrrrrrrr!!
 
Problem ya kiongozi wetu huyu ni kwamba ulimbukeni umemzidi. Wakati wenzake wanaona kumnunulia mtoto dawati kule kijijini ni muhimu, yeye anaona kusimama na mtu kama 50 cents kwenye picha ni highlight kwenye maisha yake. Anasaidiwa sana kwenye ulimbukeni huu na washauri wake ambao inaelekea nao pia wanaona kusafiri kwenda Marekani ni jambo la maana sana. As long as Watanzania wanaendelea kukubali uongozi ambao ni sub-standard kama huu, mwenyewe ataendelea kufanya anavyotaka. Zamani alivyokuwa anayakalia kimya matatizo mengi yanayowakabili Watanzania, wengi tulifikiri kuwa anatafakari, labda eventually atatoa uamuzi mzito - lakini kumbe ni kwa sababu hana uwezo wa kuyatatua. Amezungukwa na yes-men ambao quite frankly, wanamdidimiza zaidi. His PS seems to be a single-minded twit as well. Kama alivyosema Baba wa Taifa, Ikulu siyo lelemama. It's a place of sacrifice. Huwezi kukaa pale unless una nia ya kweli ya kujitoa mhanga kwa faida ya wananchi wenzako. The guy seems to have missed this until too late! Kuacha raslimali zetu ambazo zimeibiwa na watu wa nje kwenye awamu yake ya uongozi, damage ambayo uongozi wake umefanya kwa Tanzania kama nchi, utachukua muda sana kurekebisha.
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
Hivi na matatizo yote humu nchini ya giza,mfumuko wa bei,njaa nk.mkweree haoni aibu?
 
Muacheni rais wetu arefresh ubongo.akija huku mara oh igunga,akigeuka oh suti,akisimama oh jairo,akikaa oh liyunga.
Your Excellence Head of State zunguka upige picha na wanamuziki wote duniani;usisahau kunitumia.
 
Tuishe mara mbili? Tz kama ni mgonjwa tuifananisha na mgonjwa aliyeko ICU na anakata roho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom