Rais kikwete alipokutana na steven siege

satellite

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
616
164
Kama kawaida mheshimiwa rais wetu hapa yuko na Msanii maarufu wa movie Steven Siege nahisi anamuuliza hivi zile ngumi huwa za ukweli?



JK na Steven siege.jpg
 
Duh! huyu jamaa kufikia 2015 atakuwa ametimiza ndoto zake za kusafiri dunia nzima.
 
Amalize kutembea bcoz baada 2015 atakuwa akitembea kwenye bustani ukonga mpaka kifo kimkute
 
Duh!asee kweli tuna Rais SHAROBABALOH!
BADO KUKUTANA NA MA PORN STAR TU!
 
Iyo tabia yake ya kuweka mikono yote miwili mfukoni alafu anatembea sijui ndo kafundishwa ukwereni?
Mwezenu najiamini nikitembea mkono mfukoni.Ila mi nahisi ni kutafuta balance ugenini si unajua mtu unakua na wasiwasi kidogo. Ila safari zake ni za kukusanya sahihi za watu maarufu tu wala hazina naslahi. Mkuu usimsahau samata pia ni maarufu kama vipi gonga nae still moja album lijae
 
Back
Top Bottom