Rais Kikwete alimpongeza Filikunjombe, leo amwona adui NEC?

hivi Deo sio kijana msomi ambao ccm wanawalilia/mwenye kiti akifurahia kuona wasomi na vijana wengi wana gombea nec, je deo si msafi kama EL, AC, au ndio mazingira ya kumtayarishia mwana dada aliye CC Pinda Chana , jimbo la uchaguzi?
 
mbunge+2.jpg

Huwa mtu unajifunza mengi unapokutana na watu wenye itikadi tofauti mjengoni, na yanayojilia baada ya tafakuri unakuja kuona ukweli unavyojitenga na uongo.
 
kwa nini wasilete hoja ua ugombea binafsi?

hii itaondoa haya mambo ya kuwa na allegiance na vyama vya ajabu ajabu

Mtikila alishamaliza issue long time.CCM kwa ujinga wataileta ili impe Zitto kiburi ila watasahau kuwa na kwao kuna wengi wasioweza subiri miaka mingine Kumi ili wabahatihse tena kwani umri umewatupa mkono, na pia hawana hakika ya kuwepo CCM tena kama chama chenye maana.
 
Back
Top Bottom