Rais Kikwete alimpongeza Filikunjombe, leo amwona adui NEC?

ukiikosoa ccm unafutwa kasi, fili alishindwa kuwa mnafiki, mtetea ufisadi(Ujinga)
 
Ogopa JK kwa visasi. refer: Babu Seya!!! Usiniulize.

Kwa hiyo, zile picha za video za babu seya na watoto ziliundwa na Kikwete? Ushahidi wa watoto usiogongana wa ramani na setting ya nyumba ya babu seya; ni Kikwete aliyewaambia wale watoto mashahidi?
 
JK ni mtu hatari sana, usimwone anacheka ukadhani mwenzako, ndani yake ana sura nyingine kabisa.
 
Ni kweli jana niliamua kuweka bayana kwamba wanaoitafuna na kuiangamiza nchi yetu ni viongozi wetu, mawaziri, ambao tumewapa dhamana ya kututumikia. Ushahidi tunao. Maisha ni magumu. CCM tumejisahau. Tumelewa madaraka. Tumewasahau waliotutuma. Tumejisahau, tunadhani, Tanzania ni mali ya CCM.

Kwa kusema maneno hayo mtu kama hana chake ndani ya CCM, Inawezekan wazi ya kuwa CCM hawapendi Reformation na kwa hiyo wako tayari kufa.
 
Ogopa JK kwa visasi. refer: Babu Seya!!! Usiniulize.

Hapa Kikwete mnamwonea. NASIKIA eti, picha za video za babu seya na wale watoto ndio zilizomwangamiza babu. Pia ushahidi wa watoto katika kesi ile ulisadifu ramani na setting za nyumba ya babu. Kikwete hakuwafundisha wale watoto kutoa ushahidi wa aina moja? Mwuulizeni Mch. Mtikila ni kwa nini alizimika ghafla na kuacha mkakati wa kutaka kumtetea babu.
 
Ni kweli jana niliamua kuweka bayana kwamba wanaoitafuna na kuiangamiza nchi yetu ni viongozi wetu, mawaziri, ambao tumewapa dhamana ya kututumikia. Ushahidi tunao. Maisha ni magumu. CCM tumejisahau. Tumelewa madaraka. Tumewasahau waliotutuma. Tumejisahau, tunadhani, Tanzania ni mali ya CCM.

Kwa kusema maneno hayo mtu kama hana chake ndani ya CCM, Inawezekan wazi ya kuwa CCM hawapendi Reformation na kwa hiyo wako tayari kufa.
Filikunjombe amejikaanga kwa maneno na matendo yake mwenyewe. Haijui CCM?
 
kikwete hana maana kabisa,yeye na watu wanowajibika ni maadui.amezoea magenge ya wezi,wafedhuli na wazambiki.
so fkunjombe hafai kuwa nae karibu,hili hata ritz analijua.
 
Ukitaka kuishi ndani ya CCM...inabidi uwe muongo,mnafiki...ukiwa mkweli na mpenda haki utawekewa zengwe la kufa mtu.
 
Mi nadhani Filikunjombe hajajikaanga, bali ccm wanajikaanga wenyewe kwani mwisho wa siku raia wake ndo watapima kwamba anawafaa au la, na ndipo ccm watavuna mbichi zao, na tukumbuke kuwa katiba ijayo(kama itakuwa kabla ya uchaguzi) inaweza kulete mgombea binafsi hivyo si lazima ajiunge na chama kingine.
 
Ni kweli jana niliamua kuweka bayana kwamba wanaoitafuna na kuiangamiza nchi yetu ni viongozi wetu, mawaziri, ambao tumewapa dhamana ya kututumikia. Ushahidi tunao. Maisha ni magumu. CCM tumejisahau. Tumelewa madaraka. Tumewasahau waliotutuma. Tumejisahau, tunadhani, Tanzania ni mali ya CCM.

Kwa kusema maneno hayo mtu kama hana chake ndani ya CCM, Inawezekan wazi ya kuwa CCM hawapendi Reformation na kwa hiyo wako tayari kufa.

Uliweka bayana kiaje? uliwekea wapi,,anyway,,nakubaliana na wewe tu kwamba ccm hawapendi reformation, acha iwe ndo ticket ya kuwazika mazima 2015
 
Filikunjombe alipotakiwa jana kuzungumzia kuenguliwa kwake kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa ndani ya chama, alisema anaamini yeye na wenzake hao wa CCM, wametoswa kwa sababu ya kushiriki mpango wa kumng'oa Waziri Mkuu Pinda.

Hata hivyo, alisema amelazimika kukubali hali hiyo na kupokea matokeo, kwa kuwa hatua yake ya kusaini kitabu hicho ilitokana na nia njema kutaka Waziri Mkuu ajiuzulu ili mambo fulani muhimu katika jamii yafanyike.

Filikunjombe alibainisha kuwa alisaini kitabu hicho cha kutokuwa na imani na Pinda akiwa na akili timamu na alikuwa anajua kinachoweza kutokea kutokana na hatua yake hiyo.
"Nimesaini kitabu kile kwa nia njema, nikiwa na akili timamu na sijutii uamuzi wangu huo, ila siwezi kuwasemea Kigwangalla (Khamis mbunge wa Nzega) na Bashe (Hussein). Lakini sisi watatu (yeye, Lugola, Mkono) tumeenguliwa kwa sababu hiyo (ya kutokuwa na imani na Pinda)."

Aliendelea: "Nashangaa leo naonekana adui wa chama wakati nilikuwa nakinusuru na kusema kweli adui wa CCM ni Wabunge wa chama hicho ambao hawakusaini kitabu hicho cha kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, " alisema Filikunjombe.
 
Kweli nimeamini JK ni mtu wa kulipiza kisasi

Kumbukumbu za Laurence Gama hazijanitoka, wakati JK alipokorofishana kuwekeana mizengwe uchaguzi 1985 na kisha Mkapa kuibuka kidedea. Pamoja na kwamba mambo walisema wanayamaliza ndani ya Chama, lakini JK alipokuja kupata nafasi ya kujihakikisha atashinda mizengwe ya hali ya juu ilifanikiwa kuking'oa kisiki (Gama) kwa kutumia mkuki badala ya sululu (Nchimbi), maana yake EPA ilifanya kazi iliyokusudia.
 
Back
Top Bottom