Rais Kikwete akutana na wahariri; asema madai ya walimu hayatekelezeki!

Inaelekea amewatosa wazee wa Dar es salaam sasa.

Anajikosha kwa kulifungia gazeti la Mwanahalisi ndio maana anazungumza na wahariri, wamuuliz uchochezi wa mwanahalisi ni upi na kesi ipi iliyofunguliwa dhidi ya gazeti hilo. We are led by poor brain
 
Walim waiamini serikali kuwa itashughulikia madai yao, warudi kazini.
 
anamwaga pumba,mishahara ya walimu wanayodai ni mingu kuliko biugdet yetu...
 
Ameonekana ubungo speed yakufa mtu anaelekea njia ya kimara sijui itakuwaje. ... ..
 
hotuba inaendea tbc fm, tbc1 imeshindwa kurusha, ntawajuza



TBC1 kila mara anapohutubia Rais Kikwete Iko nyuma Sijui ni kwa maslahi ya nani. Tabia ya TBC1 ni tofauti kabisa na ile wakati Ben Mkapa alipokuwa raisi wetu. Tafakari.
 
madai yao hayatekelezeki wawe wapole,wagome sawa lakini haoni wapi atakapopata hizo pesa,,..
 
nimesikiliza kidogo tbccm taifa,just ni analysis tu,no new!I quite to BUNGE !ANGALAU KAFULILA on air!
 
kuna ukomo wa uwezo wa kulipana. Mwalimu alietayari kufundisha afundishe, lakini wasiwatumie watoto wadogo waandamane.
 
Ombi langu,wale ambao wapo tayari,waacheni wafundishe,msiwapige,acheni kuwatumia watoto wadogo na kuwatuma wakalale barabarani.
 
anasema walimu wanaotaka kufundisha waendelee na kazi wasilazimishwe kugoma
 
Imeanza anaongelea mgomo wa walimu na madai ya walimu ni magumu kutekeleza. Ni bajeti ya trillion 6. Ana lalamika tu km mimi na wewe.Na madai ya walimu haiwezekani.
 
Back
Top Bottom