Rais Kikwete akutana na wahariri; asema madai ya walimu hayatekelezeki!

Shida tupu! Tbc ni matangazo tu ya ngoma pamoja chereko! Ngoja niende zangu nikapate serengeti baridi by the way huyu jamaa anaweza niharibia siku saa hizi za jion kabisa
 
Chonde chonde wasikubali asimame asije akasingizia tena mfungo akipiga sarakasi zake zile!
 
Nimeipata katika radio moja, anaongelea swala la gesi hivi sasa
 
TBC wamesema wanajiunga lakini naona mitambo imegoma wanapiga kwaya
 
Anaenda kuelezea afya yake inavyozidi kuwa na mgogoro, migomo ndio chanzo cha afya yake kuwa mbaya sasa imefika mahari aweeleze wazi watanganyika( zanzibar tayari ni nchi iliyojitenga) kwanini alikuwa anaanguka katika mikutano ya hadhara. jambo la pili ni jaribio alilofanya kutaka kumuua Ulimboka, hiyo imemusumbua sana kwani idara ya usalama wa Taifa waliahidi kutimiza mauaji kama ilivyokuwa mauji mengine yaliyotokea hapo nyuma.
 
Labda kama anazungumza nao (waandishi wa habari) itakuwa ni kimya kimya maana TBC wanaonesha kikao cha bunge na Clouds (wasaidizi wa TBC wasiokuwa rasmi) kipindi hewani ni JAHAZI. Au suala la kuzungumza na waandishi nalo LIMEKWENDA MAHAKAMANI=kukutana kimya kimya??

Mkuu TBC wamesema wanaonyesha hizo story zake wakakata bunge lakin hadi saa hizi naona wanatupia kitu cha gospo! Sio mchezo
 
rais wa kuzungumzia matukio wala sihitaji,inatakiwa awe kama kagame azingumze juu ya majibu ya maendeleo
 
.........ameongelea pia mambo ya gesi na kusisitiza kuwa na wataalamu wazalendo bila mkakati wa kuwapeleka shule, sisi tunajali tunachojali ni uchaguzi moja ukiisha ni mwanzo wa mwingine.....kaaazi kweli kweli
 
naona alisita kuitoa hutba ya mwisho wa mwezi ili apime upepo kama mgomo ni upepo tu au vp, naona sasa ameona hili ni dhoruba kali na halipiti
 
Back
Top Bottom