Big up Jk, hivi Dr Slaa anafanyaga mazoezi?
Dr. Slaa sio bishoo ndio maana huwezikujua kama anafanya mazoezi!! Lakini si unamuona alivyokuwa physically fit; hana kitambi!!
kula vizuri, fanya mazoezi utaishi mda mrefu.
kula vizuri, fanya mazoezi utaishi mda mrefu.
CCM na CHADEMA tukichukulia ni kama SIMBA na YANGA tutapotoka.
kaunga umeonaeee, 2015 ccm tutawaimbia dada huyo ameolewa, nasikia mahari ya ccm tayari, kwikwikwi! Mboni yangu mie! Muumba juu atupe pumzi tu, tushuhudie! Amen!tukichukulia hivyo, bora cdm iwe simba! Lol