Rais Kikwete ahutubia taifa mwisho wa mwezi Februari

NICK2275

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
3,931
918
Jk leo atahutubia kama utaratibu ulivyo kwa kila mwisho wa mwezi.
Tusubiri tuone atakuja na yapi yakutuleza sisi wananchi wake wenye matatizo lukuki
stay tuned.
UPDATES
Ameanza sasa kuhutubia
Naona leo kaingia kwa staili ya Obama-japo corridor yake ni fupi
Swala la mgomo wa madaktari analizungumzia
mauaji ya singoe pia yapo kwenye hoja,
leo naona anafuraha kuliko hotuba zake nyingine,na hajakaa kama zamani,kasimama
 
Aende zake hatuna mda naye, sie tuko bussy na shamla shamla matokeo kumpata mgombea wetu arumeru. Lipi jipya toka kwa JK? PEOPLE'S POWER!!!
 
kwa nini hautubie usiku na anahutubia saa ngapi maana naona TBC wameweka michezo ya maigizo
 
Kwanini ahutubie usiku anataka kuongea na wananchi wake huku wakiwa wamelala? Tupe source
 
kwa nini hautubie usiku na anahutubia saa ngapi maana naona TBC wameweka michezo ya maigizo
nazani baada ya hii michezo-naona wameipa hii michezo kipaumbele kwanza...hope does not signify their importance
 
kwa wale wenye tbc tv na redio,JK anapatikana pande hizo sasa
 
Wana JF Rais anatoa hotuba yake ya mwezi na ameanza na mgomo wa madaktari na sasa anatoa pole kwa mauaji ya Songea.

Twendeni sambamba
 
Wakuu naomba mtujuze ni lipi jipya anatuambia kwani kila mara urudia Hotuba zake
Nathani atakua anajipya kwa Sasa, Nchi imeshamshinda, ngoja amalizie muda atuachie Nchi yetu tuanze Upya.
Good Luck JK.
 
amezungumzia pia suala la mauaji ya songea watu 13 walikufa,askari polisi 4 walikamatwa
 
Ametoa pole kwa wafiwa mauaji ya Songea na kwamba hatua zinachukuliwa kwa waliohusika.
 
vyama,wadu mbalimbali na wanaharakati walitaka nisisaini,nami niliwakubalia kukutana nao tukazungumza
 
Madaktari wawe na subira serekali inaanza kuyafanyia kazi mapendekezo ya tume.

Mauaji ya songea amewapa pole wa wahanga waliouliwa na polisa.
 
Back
Top Bottom