Rais Kikwete adanganywa tena

madini vs NET
Nyamisisi Vs Butiama or Butiama Vs Nyamisisi? Pls Msaada hapo!
 
Alifanya makusudi hataki makao makuu yawe Butiama kwa vile alikuwa na bifu na Nyerere.
 
Jamani bahati mbaya kwa sababu sasa rais ana mambo mengi labda alipelekewa wakati anaomboleza kifo cha mtoto wa dada yake au alipelekewa asign wkt wa mazishi ya mv spice kwa hiyo tumuache rais wetu apumzike kwa amani.
 
Ina maana jk hajagundua kuwa watendaji wake hawamtakii mema?.
Timua wote, ili ujaribu kurudisha heshma yako japo kidogo.
 
Nimesikitishwa na kauli ya PM kusikitika, alitakiwa aagize aliyedanganya apatikane, ashughulikiwe na kutengua uamuzi wa makao makuu ya wilaya ya Butiama kuwa Nyamisisi.
Hana uwezo huo, yasije yakawa kama ya Jairo.
 
Kadanganywa? Haku soma kabla ya kusign?

naona mkuu wa kaya ana kale kaugonjwa kwa kutokusoma vitu.. unakuta mtu unampa form au karatasi yoyote baada aisome yeye anakuuliza hii nini huku anayo mkononi.. naomba tu asepe kabla ya 2015 ili tuweze kukua angalau..
 
Hata hivyo, alisema pamoja na tangazo hilo kuchomekwa neno Nyamisisi, bado mtu aliyefanya hivyo hajafanikiwa, kwani tangazo hilo sio uamuzi wa mwisho wa kuhusu suala hilo.


just when u need MKJJ
 
..Kwa jinsi ninavyojua mimi, eneo la Nyamisisi lipo barabarani, barabara kuu ya Mwanza-Musoma, na ndipo shughuli nyingi za Uchumi za kila siku zinafanyika. Butiama ipo umbali wa kama kilometa 20 kutoka barabara kuu ya Mwz-Musoma na ni lami mpaka Butiama.
Kwa vile miundo mbinu ya kufika Butiama ni mizuri, ni Heshima kupeleka makao makuu ya Wilaya Butiama alipozikwa Mwl, kama alivyosema PM hapo juu.
 
Tunahitaji Rais 2015 atakayetuepusha na matamko yanayopingana kama haya.....wakati mh. Rais jk ametangaza Nyamisisi Pinda anasema hivi...“Hata kama kuna mtu alitaka makao makuu yawe Nyamisisi, kwa kweli haikupaswa hiyo Nyamisisi kuchomekwa hivyo. Hata mngeniuliza mimi makao makuu yawe wapi, ningesema lazima yawe Butiama tu,” alisema Pinda na kushangiliwa
 
Hivi ukiwa rais, huruhusiwi hata kupitia document kabla ya kui-sign???!!!! Hii nayo ni ajabu................... Halfu Mh. Pinda, anamuumbua bosi wake mbele ya wananchi...eti "Rais alisaini tangazo hilo akijua kuwa kilichoandikwa ni makao makuu kuwa Butiama bila kujua eneo lililoandikwa ni Nyamisisi"

Hii ni aibu tupu.........

 
HIU.gif nan uyu
 
Shahada yake ya udakitari ni ya chuo gani ?
hili jambo hata mimi huwa najiuliza sana, huu udaktari wa kupeana basi wawe angalau wanatazama na mtu wanaempa ni kweli awe anastahili, maana duh siku hizi ukilala ukiamka wewe tayari dokta, haileti maana.
 
Back
Top Bottom