Rais Kikwete aagiza flyovers zijengwe Dar haraka sana

Upuuzi tu.

Anaagiza kujenga anamwagiza nani? Yeye si ndio CEO wa nchi? Aseme ninajenga na sio kutoa sounbites za uchaguzi tu hapa
 
Then, hao maofisa wa mipango miji wanafanya kazi gani sasa? unaweza kukuta wengine hata wamepanga manzese,na kwa nini hadi wapate amri kutoja juu? Tukija kwenye swala la flyovers ni kwamba linatekelezeka au ni kampeni tu? isije ikawa kama ile ya maisha bora.[/QUOTE]

Nyani-Abiziani,
Town Planners walishatoa mapendekezo tangu mwishoni mwa miaka ya Tisini issue ipo kwenye utekelezaji tu.Jiulize izo flyovers unataka zitoke wapi na ziishie wapi?je tuna feeder roads zakutosha ili kupokea ayo magari yatakokua yanatoka kwenye flyovers?au yatakua yanakaa huko huko juu?

Dar current inaitaji access(feeder)roads za kutosha, pili zitengenezwe roads mpya za kuunganisha maeneo yanayokua, mfano roads ya kutoka Bunju-mbezi ya Morogoro road to Pugu.Ubungo, kariakoo kupitia kigogo-kupitia club ya Yanga(ii walishaanza kuijenga sijui itaisha lini). Mwisho walishapendekeza since 1980s Dar-CDB ipunguzwe kwa kuanzisha nyingine nje ya Dar na office nyingine zijengwe huko.Matokea yako ni kinyume DAR-CDB kuanzia kariakoo watu wanazidi kutenga vikwangua anga na officeza serikali zinasogezwa kutoka ghorofa moja kwenye lingine na hawahamii nje ya mji kama planners walivyopendekeza, ili kupunguza watu kuelekea Posta kila kukicha.Kufikiria fryover kwa sasa ni ujinga na, kama wameshindwa kujenga simple access roads wataweza fryovers? Kauli ya JK ni too politics.nawaonea huruma mnaomwamini..wahenga hawakukosea waliposema "wajinga ndio waliwao"

Mwisho, Town planner uyu unayemlalamikia mshahara wake ni TSGD=322,000/= na wengine ni TSGE=408,560. Kwa kipato hiki unategemea akapange wapi kama sio Manzese, Msasani bonge la mpunga, Buguruni, viungunguti,Mbagala mgeni nani au akijitaidi kigogo.Nimalizie kwa kusema suala la fryovers alitekelezeki, kwenye ground kuna mambo yanatakiwa kujengwa kabla ya kufukiria fryovers.
 
Mkuu nchi za wenzetu kuna baadhi ya barabara magari yasiyokuwa ya abiria hayaruhusiwi kupita na hivyo kutoa nafasi magari ya abiria na ambulance kutokwama kwenye traffic jam. Congestion fee inaweza kusaidia kupunguza idadi ya magari kuingia mjini lakini ili hii ifanyike lazima kwanza kuwe na usafiri wa uhakika kwanza kuingia mjini.

Hili tatizo la viongozi kufunga huduma za barabara kwa watumiaji wengine mpaka wao wapite kwanza kwa kweli inakera kupita kiasi.

Tiba

Congestion fee inasaidia pale panapokuwa na njia mbadala ya kuingia mjini. Hii inatumika kuwahamisisha watumiaji wa magari binafsi watumia njia nyingine kama mabasi, trams, treni au subways. Kwetu hakuna njia mbadala. Hiyo fee itakuwa kama kodi maana watu hawana jinsi isipokuwa kutumia magari yao.

Amandla......
 
Ni kweli kabisa hiyo congestion fee ni kuwaongezea ulaji akina Kingunge tu ambao tayari wanatuchaji maelfu kama parking charges.

Tunatumia magari madogo sio kwa hiari lakini hebu angalia hiyo public transport iliyopo sasa hivi, vibaka kibao wakikuibia laptop yako ndio kazi imekwisha.

Tunajibana sana kuweka mafuta kwenye magari, fedha ambazo tungeweza kutumia kwa manufaa mengine na vile vile kupunguza uchafuzi wa mazingira.
 
hivi huyu mzee anafikiriaga kweli maagizo anayoyatoa au anapauka tu?madawati kununua yanawashinda anawaza flyovers?

Si ndio hapo..mambo madogo yametushinda tutayaweza makubwa?mwaka wa uchaguzi huu mambo kibao yataibuliwa.Kesho kutwa utasikia kila mwanafunzi wa kike anayejiunga chuo kikuu kupewa laptop yake..teh teh teh!
 
hivi huyu mzee anafikiriaga kweli maagizo anayoyatoa au anapauka tu?madawati kununua yanawashinda anawaza flyovers?

Mkuu Kigogo, huyu jamaa ni msanii na mwaka huu kwa kuwa anataka Watanzania wampe KULA atatoa kauli zake nyingi za kisanii ambazo haziwezi kutekelezeka kabisa. Anadhani hizi zitajiotea kama uyoga au mchicha unavyoota bila hata ya kuwa na planning ya kujenga hizi flyovers na hiyo financing itatoka wapi. Kauli zake kwa kweli zinakatisha tamaa sana maana zinaonyesha tuna kiongozi ambaye hata uwezo wake wa kutafakari mambo ni mdogo sana.
 
Mkuu wa nchi anaagiza utekelezaji wa mradi mkubwa wa mabilioni kupitia media? Mwe! Labda kama anataka kutupa taarifa ya mpango uliokamilika tayari kuanza utekelezaji. Halafu, baada ya kuvuruga Master Plan ya jiji kwa miongo kadhaa, bado Rais anaota ndoto ya kujenga miundombinu ya kiwango hicho kwa muda mfupi ujao? kama sio tamko la kisiasa, basi kwanza akae na wataalamu wampe honest assessment ya jinsi mradi huo unavyoweza kutekelezeka DSM.
 
Congestion fee inasaidia pale panapokuwa na njia mbadala ya kuingia mjini. Hii inatumika kuwahamisisha watumiaji wa magari binafsi watumia njia nyingine kama mabasi, trams, treni au subways. Kwetu hakuna njia mbadala. Hiyo fee itakuwa kama kodi maana watu hawana jinsi isipokuwa kutumia magari yao.

Amandla......

Na tungekuwa na Serikali makini tungeweza kusema kwamba hiyo congestion fees inaweza kutumika katika upanuzi wa barabara mbali mbali za Dar na hata kujenga mpya lakini nyingi zitaishia mifukoni mwa mafisadi au kupelekwa katika kampeni za ccm
 
Ni kweli kabisa hiyo congestion fee ni kuwaongezea ulaji akina Kingunge tu ambao tayari wanatuchaji maelfu kama parking charges.

Tunatumia magari madogo sio kwa hiari lakini hebu angalia hiyo public transport iliyopo sasa hivi, vibaka kibao wakikuibia laptop yako ndio kazi imekwisha.

Tunajibana sana kuweka mafuta kwenye magari, fedha ambazo tungeweza kutumia kwa manufaa mengine na vile vile kupunguza uchafuzi wa mazingira.

You can not escape from this my friend;

ndio wenzetu wanavyofanya na hata hapa itakuwa hivyo hivyo, swala la kuwa kuna kuibiwa laptop is another case is not technical issue.

solution zinazotakiwa ni
1. Kujenga barabara mpya za kuunganisha sehemu moja na nyingine na hii kwa DSM ni lazima
2. kuweka fee kama walivyosema ndugu FM na alles hapo juu
3. kuboresha huduma za daladala ikiwa pamoja na kupunguza nauli, kuwaondolea kodi hawa watu wa daladala
4. kudiscourage matumizi ya magari binafsi kama lako for anyways, ikiwa ni pamoja na fee, kuwa na bei ya mafuta juu kuliko public transport
5. kupanua barabara zilizopo.

we can solve the current ptoblems if leaders want to, nilichoandika hapa ni vitu basic ambavyo ukimchukua graduate wa UDSM civil engineering atakuambia the same, ukiwachukua watu wa chuo cha usafirishaji wanaosoma transport economy watakuambia the same. solutions zipo na viongozi wanajua wamelala tu

mradi wa DART ulikuwa mahususi kuwavutia watu kama wewe wenye laptop zao! , train za kwenda kazi nazo is another solution. kumbuka point number tatu, ukiweza kudiscourage private cars, lazima uwe na sehemu ya kuwa accomodate.

so alichosema JK amekurupuka tu, flyover sio solution kwa Tanzania ya sasa, you can opt that as the last solution

furthemore, ground trains are superior to flyover! we can use underground tunnels even for transporting sewage systems, electrical power, and rain water etc ! but not now not this decade or next decade we need to do basic things first.

so kwa dunia ya tatu yenye poor infrastructure kama yetu ikitokea point tunasema we need flyover, then tunnels is the best than flyover kwa sababu za hapo juu
 
Rais Kikwete pia ameagiza mambo yafuatayo:

1: Kujengwe flyovers katika jiji la Dar
2: Lijengwe daraja refu lenye njia tatu-tatu kuelekea Kigamboni
3: Lijengwe daraja lingine refu zaidi lenye njia mbili-mbili kutoka Tanga mpaka Pemba ili kurahisisha maendeleo ya kisiwa cha Pemba.
4: Zijengwe reli za chini kwa chini katika jiji la Dar na kuufanya mji wa Dar uwe wa kimataifa kama New York au London
5: Barabara zote kubwa za kuunganisha mikoa zijengwe upya na kuwa na njia tatu-tatu na marufuku kwa barabara hizo kuwa za njia moja-moja.
6: Jiji la Dar litaanza kupata huduma ya maji toka Bahari ya Hindi, na hayo yakipungua tutaanza kupata maji toka mwezini.

.......Raisi alitoa maagizo mengine 50 ambayo alisema yatatimizwa na CCM katika kipindi cha miezi iliyosalia kabla ya uchaguzi mkuu.

Porojo Ndio Hizo!!!!!!! :rolleyes:
 
Sasa usanii umeshamiri tena kuelekea October 2010! Ameshindwa kutimiza lolote katika miaka minne aliyokaa Ikulu sasa hayo yote anadai atayatimiza katika kipindi cha miezi mitatu! Hata ule woga wa kutudanganya Watanzania hana ili mradi ahakikishe anapata KULA!
 
This President, as usual, has said something out of impulse to make himself feel good as well as to continue his 'usanii'.

From him, we will hear more absurd 'directives' from now onwards. This is the election year.
 
Ahh Now that JK amesema, wataanza kulifanyia kazi...Kila Mtu Serikalini huwa anasubiri JK aseme.
 
Uchaguzi unakuja....miaka minne yote alikua wapi kuzijenga hizo barabara za juu...wanatafuta ahadi mpya.
wakati wauchaguzi mkuu mwaka 2005 walikua na ahadi kuwa kufikia 2009 kutakua na usafiri wa mabasi yaendayo kasi DSM, SASA WAMESHINDWA WANAKUJA NA KELELE MPYA, tunataka vitendo, Kikwete tumechoka na maneno maneno yako.

Nguvumali,
Umenikumbusha wakati wa kampeni za mwaka 1995, huyo JK alisema daraja la kigamboni litaanza kujengwa mara baada ya uchaguzi na kwamba upembuzi yakinifu umeshakamiika, sasa ona ni miaka mingapi imepita??????????????High speed buses ziko wapi??????????????????walimleta jamaa kutoka south america kuanzisha mkurabita yuko wapi??na mkurabita wenyewe umefikia wapi???????? leo anakuja na flyovers to hell
 
Siamini hata chembe kuwa Rais wa TZ anaweza kusema au kuwa na mawazo ya kuwa na barabara za high ways huku zaidi ya asilimia 90 ya watz wakishindwa hata kupata basics needs kama vile maji salama,matibabu na uhakika wa mlo bora kwa siku!

Kama kweli JK alisema haya maneno hayo kwa sababu anazozijua yeye huku akijua kabisa kuwa uchumi wetu upo hovyo hovyo mno ukishindwa hata kutengeneza barabara za kawaida ili zipitike wakati wa majira yote;basi namshauri arudi tena Cuba alikokwenda kupimwa akili mwishoni mwa mwaka jana!
 
Ahh Now that JK amesema, wataanza kulifanyia kazi...Kila Mtu Serikalini huwa anasubiri JK aseme.

it means hiyo hela ipo tayari sio?? je daraja la kigamboni mbona stori zake zilikuwepo long tym tu vipi ??
 
Kamuagiza nani!?

Hivi anaelewa hata 'feasibility study' ya hii kazi inachukua muda gani?

Majuzi hapa wamesema wapo njiani kuleta train ziendazo kasi ya ajabu (kupitia kwenye reli ile ile ya mjerumani!!?)

Hivi uchaguzi mkuu ni mwezi wa ngapi vile!!?

Nadhani imefika muda sasa tusiwe na president mwanasiasa
Haswaaa, twahitaji mwanajeshi. Lakini si Trafiki au Polisi.
 
Msimwamini hata kodogo! Hivi kujenga flyovers ni kuagiza tu! Then unasubiria wanakuja kukuambia mzee tumejenga!!! Camon Men! Mabasi yendayo kasi yako wapi and nobody is talking about it! Usafi wa jiji na vurugu za machinga zimewashinda, leo hii unaongelea flyovers! Hii si siasa tu kuanza kujsafishia njia! Sijui lakini! ukweli ni kwamba Kikwete anakosa mamlaka ya kuamlisha jambo na likatendeka, siku zote za matukio makubwa ya kiasisa ambayo yangehitaji maamuzi yake kama mkuu wa nchi yeye amechagua kubaki kimya ama kuchukulia kana kwamba si jambo kubwa, wapo wezi wa EPA, wafujaji na mafisadi wakubwa ambao wanaendelea kuishi kama Miungu nchi hii huku wananchi wakidanganywa kwa viini macho vya kesi mahakamani!
Hii ndio Tanzania ya JK, wapiganaji wachache wenye uwezo wa kufanya mambo and make a difference kama akina John Pombe Magufuli unamweka waziri wa Vitoweo! Amefanya vizuri kwenye barabara, amefanya vizuri kwenye Makazi so why hide him nyuma ya pazia???? Hivi maendeleo yatakayopatikana si itasifiwa serikali yako?
Sauti za chache za wenye uchungu na nchi hii zinapotafuta suluhisho la kudumu kwenye rushwa na uozo uliomo ndani ya jeshi la polisi wanatumia kila aina ya mbinu kutaka kuzinyamazisha!
I bet you hakuna flyovers hata baada ya miaka 50 ijayo!!
 
Kaka tumekusoma ila wewe hujui hadi sasa mkulu yuko mbele kwa goli tatu?? MNAJIMU si keshasema??
 
Back
Top Bottom