Rais Joyce Banda amfukuza kazi Mkuu wa Polisi Malawi!

inakera vyombo vya dola kukitumikia chama tawala. hata hivyo rais mpya wa Malawi amekuwa na papara mno ya kuwatumia kabla hata hajafikisha masaa 48 ya utawala wake.

Ila kumbuka huyu alikuwa makamu wa Rais kipindi chote hicho na anajua nini kilikuwa kinafanyika pale.
 
Did u read the article well? Amewafuta kazi kwa sababu walikuwa coruppt plus officer full mauaji.

hayo majibu ninayaona.....................lakini tatizo ni kuwa yeye alikuwa makamu wa Raisi alichangia nini katika hayo.......sababu hutolewa za maamuzi lakini mara nyingi hutumika kufunika uonevu kwenye jamii.....uwe mwangalifu unaposikia mtu anajitetea hata kabla hajaulizwa............au anajibu maswali ambayo hajaulizwa............kumbuka hawa ni watu wa karibu sana na Michael........yule mwendazake
 
Ninawaomba muisome tena hii habari kabla ya kumhukumu. Mpaka hapa kama atakuwa "analipiza kisasi" basi anafanya hivyo kwa sababu ya Wamalawi ambao wamekuwa wakiishi katika hofu juu ya unyama wa polisi wao.

Lakini kaam alivyodai mhariri mmoja, isijekuwa hizi ni nguvu za povu la soda baadae akaangukia katika mtego ambao viongozi wengi wa Afrika wameangukia - kiburi, ulevi wa madaraka, rushwa na msululu wa maovu ya kuziua nchi zao.

Ninamtakia kila la heri kwa ajili ya Wana wa Afrika.
 
IMO I like Mzuka aliokuja nao Mama Banda; The first time alichukua action dhidi ya Police Chief akitoa sababu kubwa kama vifo vya watu tokana na uzembe (wakiwemo raia na baadhi ya Police); I was Impressed kua she is a Leader of actions.... But then amekua na maamuzi mengi yanayostahili uzito wa fikra pevu na uhusishaji wa wakubwa wengine walau kujadili kwanza hizo issue - naona kama ni mengi mno.

She has been in office for not more than a week.... Tayari haraka haraka kisha ongea na ma donors (International ambao walikua against Mutharika) na misaada isha anza kuwasilishwa, na kufukuza baadhi ya Viongozi i.e Waziri wa Taarifa.... OK, It is good kua she is taking action na kufanya kazi bila delays... Lakini haya maamuzi yanakua kana kwamba she knew the Late President atakufa na alisha jipanga a year ago what to do and who to get rid of..... Enways I really want her to succeed. I hope she knows what she is doing..... All the Best Madame President; hopefully utakua karibu na Madame President E. J. Sirleaf.... akapate siri ya mafanikio.
 
Yeye alikua makamu wa Rais kama alijua hiyo serikali ni Corrupt kwanini hakutoka?!!! huyu ni kibaraka wa Uingereza ni mama mnafiki mchumia tumbo...
 
ehh sjui na mimi lini nitachukua nchi....wa kwanza kumfire ni......:kev:
 
hayo majibu ninayaona.....................lakini tatizo ni kuwa yeye alikuwa makamu wa Raisi alichangia nini katika hayo.......sababu hutolewa za maamuzi lakini mara nyingi hutumika kufunika uonevu kwenye jamii.....uwe mwangalifu unaposikia mtu anajitetea hata kabla hajaulizwa............au anajibu maswali ambayo hajaulizwa............kumbuka hawa ni watu wa karibu sana na Michael........yule mwendazake
unajua kisa cha yeye kufukuzwa kazi na Mutharika? walitofautiana misimamo ya jinsi ya kuendesha nchi!
 
hayo majibu ninayaona.....................lakini tatizo ni kuwa yeye alikuwa makamu wa Raisi alichangia nini katika hayo.......sababu hutolewa za maamuzi lakini mara nyingi hutumika kufunika uonevu kwenye jamii.....uwe mwangalifu unaposikia mtu anajitetea hata kabla hajaulizwa............au anajibu maswali ambayo hajaulizwa............kumbuka hawa ni watu wa karibu sana na Michael........yule mwendazake

Mkuu Rutashubanyuma,

Huyo Mama alikuwa ni Makamu wa Rais jina, lakini hakuwa na mamlaka yoyote. Alifukuzwa kwenye chama tangu 2010 baada ya kupinga uteuzi wa Peter Mutharika kuwa mgombea wa Urais mwaka 2014. Baada ya hapo akawekwa kando na ilifunguliwa kesi ya kumvua Umakamu wa Rais, lakini Mahakama ikasema haiwezekani huyo Mama kuvuliwa Umakamu wa Rais.

So, hayo madudu wakati yanafanyika yeye hakuwa kwenye position yoyote ya kumshauri Bingu wa Mutharika. In fact walitaka hata kuondoa ulinzi (security detail) lakini Mahakama ikasema hilo ni kosa.

Mpaka sasa watu aliowaondoa wana matatizo yao. Nikianza na huyo Mkuu wa Polisi, ni kwamba alikuwa na tuhuma nyingi ikiwemo hiyo ya mauaji ya watu 19 chini ya uongozi wake. Kuna madudu kibao ya vifo vya utata vya wanasiasa na wapinzani wa Bingu wa Mutharika. Pia hata kukandamiza demokrasia, majuzi hapa mtoto wa Bakili Muluzi (Atupele) aliwekwa ndani bila sababu za msingi kwa malengo ya kumnyamazisha.

Mkurugenzi wa Malawi Broadcasting Corporation, yeye alikiri wazi kwamba aliwahi kutumia lugha ya kejeri na dharua kwa huyo Mama ikiwa ni maelekezo kutoka Ikulu. Kwamba alielekezwa kutumia lugha chafu na mbaya ili kuwaonyesha wananchi kwamba Joyce Banda is nothing. Hayo ameyakiri juzi LIVE kwenye radio, sio kwamba alisikika kichochoroni. Pia huyu kijana watu wanasema credentials zake zilikuwa questionable. Haijulikani kama aliajiriwa by merit au ndo wale wanapewa kazi halafu wanakuwa wanaagizwa cha kufanya then hawaulizi WHY? Yaani hawatumii taaluma yao katika kutekeleza majukumu yao.

Waziri wa Habari na Utalii [Patricia Kaliati], alitoa Tamko kwamba Joyce Banda hawezi kuwa Rais kwa kuwa alishaondoka kwenye chama, so technically sio makamu wa Rais. Sasa kama mtu anaweza kwenda public kutoa tamko kama hilo, unategemea ukimbakiza kwenye Baraza la Mawaziri atakuheshimu? Atakuamini? Atatenda kazi ipasavyo? Hawezi kukuhujumu ili uonekane huwezi?

Huyo Gavana wa Benki Kuu ya Malawi, anatuhumiwa na ufisadi na kwamba amekuwa akitumia vibaya position yake kwa maslahi yake na anacheza na exchange rate ili aweze ku-benefit. Pia inasemekana ushauri wake ndio ambao ulipelekea IMF na WB kuamua kujitoa kushirikiana na Malawi.

Kwa ujumla, kuna wengi ambao wataondoka na sidhani kama ni kwa visasi, bali ni kuanza na timu ambayo unai-trust na kwamba wako tayari kufanya kazi na wewe. Kuna mawaziri kama wanne wako njiani kuchomolewa ila inabidi wachomolewe kiaina kwa kuwa wameshikiliwa wizara nyeti na ni senior Ministers na hao ndio walikuwa wana engineer kuzuwia Joyce Banda asiwe Rais ili Peter Mutharika ndio abaki kuwa Rais. Ukiwaacha watu kama hao ni sawa na ku-take risk ya kukaa na nyoka ndani mwako ukidhani kwamba hawezi kukugonga.
 
IMO I like Mzuka aliokuja nao Mama Banda; The first time alichukua action dhidi ya Police Chief akitoa sababu kubwa kama vifo vya watu tokana na uzembe (wakiwemo raia na baadhi ya Police); I was Impressed kua she is a Leader of actions.... But then amekua na maamuzi mengi yanayostahili uzito wa fikra pevu na uhusishaji wa wakubwa wengine walau kujadili kwanza hizo issue - naona kama ni mengi mno.

She has been in office for not more than a week.... Tayari haraka haraka kisha ongea na ma donors (International ambao walikua against Mutharika) na misaada isha anza kuwasilishwa, na kufukuza baadhi ya Viongozi i.e Waziri wa Taarifa.... OK, It is good kua she is taking action na kufanya kazi bila delays... Lakini haya maamuzi yanakua kana kwamba she knew the Late President atakufa na alisha jipanga a year ago what to do and who to get rid of..... Enways I really want her to succeed. I hope she knows what she is doing..... All the Best Madame President; hopefully utakua karibu na Madame President E. J. Sirleaf.... akapate siri ya mafanikio.

AshaDii,

Nakubaliana na concern yako, lakini naomba uelewe kwamba amechukua post hiyo kama outsider, ni sawa na chama cha upinzani kinapochukua dola, Ila sema kwamba kasi anayokwenda nayo ni kali, japo bado naona anaenda vyema.

Tatizo kubwa la Rais aliyemtangulia, ni kwamba alikuwa amejaza watu wa kwake na ndio waliotaka kushiriki dhambi ya kum-block huyu mama asiapishwe kuwa Rais. Hivi ungekuwa ni wewe AshaDii ndo unawasikia Mawaziri fulani wanatoa tamko kwamba AshaDii hawezi kuwa Rais wa Nchi hii, hivi unaweza kuwa na imani ya kutosha kuendelea kuwa nao kama mawaziri wako?

What if kama Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji alishakukashifu na kukudhalilisha kwenye vyombo vya habari vya umma, bado utaendelea kumwacha?

I know kuna changes nyingi zinakuja na haswa kwa vyombo vya ulinzi na usalama na pia kwenye cabinet, lengo ni ku-weed out wale wote ambao hana imani nao.

Tatizo la viongozi wengi wa Afrika huwa wana-appoint viongozi kwa malengo ya kulinda maslahi yao. Mkapa aliingia Ikulu na Mahita, Adadi Rajab, Apson, na Ballali. Kikwete alipoingia nae aliwabadilisha wote na kuwaweka Mwema, Manumba, Othman na Ndullu. Vivyo hivyo hata kwenye safu za wakuu wa mikoa na wilaya.

Hayo maswala ya kwamba Mama alijiandaa au la, yana utata sana. Maana kitendo cha Mama kukiri kuwa ni mfuasi/muumini wa TB Joshua, kunazua maswali mengi sana. Tayari wasema ovyo wameishasema kwamba Mutharika aliuawa na wabaya wake na kwamba TB Joshua alitumika kama kipaza sauti tu ili ku-divert attention ya wauaji ambao walikuwa Malawi. Je, hayo anayoyasema Prof. Jonathan Moyo yana ukweli? Inabaki kuwa ni speculation. Sasa nikiunganisha na hizo dots zako kwamba Mama anafanya kazi kwa speed as if alishajiandaa kwamba wakati fulani nitaingia Ikulu na nitafanya changes hizi na zile. Ninabaki mdomo na maswali yanaongezeka zaidi ....
 
mi sioni kama kuna tatizo hapo anachapa kazi na kutoa sababu. kwa mfano hapa kwetu ikitokea na mlithi akanza kwa kuwawajibisha watu wanaofanya kesi za EPA, mauaji ya polisi Nyamongo ETC zigande kusikilizwa tutasema wameonewa ??
 
yeye alikua makamu wa rais kama alijua hiyo serikali ni corrupt kwanini hakutoka?!!! Huyu ni kibaraka wa uingereza ni mama mnafiki mchumia tumbo...

nasikia aliwekwa kifungu cha nyumbani...!
 
Ninawaomba muisome tena hii habari kabla ya kumhukumu. Mpaka hapa kama atakuwa "analipiza kisasi" basi anafanya hivyo kwa sababu ya Wamalawi ambao wamekuwa wakiishi katika hofu juu ya unyama wa polisi wao.

Lakini kaam alivyodai mhariri mmoja, isijekuwa hizi ni nguvu za povu la soda baadae akaangukia katika mtego ambao viongozi wengi wa Afrika wameangukia - kiburi, ulevi wa madaraka, rushwa na msululu wa maovu ya kuziua nchi zao.

Ninamtakia kila la heri kwa ajili ya Wana wa Afrika.

tatizo ni kuwa yeye amekuwa hakimu kwenye kesi yake.ilipaswa awasimamishe halafu wachunguzwe na chombo huria na mapendekezo ayo yamwongoze katika kufanya maamuzi yasiyo na jazba............ukumbuke alikwishapigwa stop na chama chake kugombea uraisi sasa dhana ya kuwa anajaribu kupanga safu za kugombea uraisi kwa kuwadhoofisha maadui zake wa kisiasa haziwezi kutupiliwa mbali bila ya kufanyiwa kazi........
 
IMO I like Mzuka aliokuja nao Mama Banda; The first time alichukua action dhidi ya Police Chief akitoa sababu kubwa kama vifo vya watu tokana na uzembe (wakiwemo raia na baadhi ya Police); I was Impressed kua she is a Leader of actions.... But then amekua na maamuzi mengi yanayostahili uzito wa fikra pevu na uhusishaji wa wakubwa wengine walau kujadili kwanza hizo issue - naona kama ni mengi mno.

She has been in office for not more than a week.... Tayari haraka haraka kisha ongea na ma donors (International ambao walikua against Mutharika) na misaada isha anza kuwasilishwa, na kufukuza baadhi ya Viongozi i.e Waziri wa Taarifa.... OK, It is good kua she is taking action na kufanya kazi bila delays... Lakini haya maamuzi yanakua kana kwamba she knew the Late President atakufa na alisha jipanga a year ago what to do and who to get rid of..... Enways I really want her to succeed. I hope she knows what she is doing..... All the Best Madame President; hopefully utakua karibu na Madame President E. J. Sirleaf.... akapate siri ya mafanikio.

huyu mama mshangilieni tu lakini ni kibaraka wa wamarekani na anajiaanda kuchukua nchi kwa mabavu............wale wote ambao hawamkubali anawashughulikia......leo waziri wa khabari patricia....kipenzi cha Mutharika amemwagiwa wino.................au niseme amepigwa kalamu......................haya mabadiliko yanatisha hata mwendazake hata hajafikishwa kwenye kaburi lake........................haya mageuzi ni kwa ajili ya kujinufaisha yeye mwenyewe......tuwe macho
 
Mkuu Rutashubanyuma,

Huyo Mama alikuwa ni Makamu wa Rais jina, lakini hakuwa na mamlaka yoyote. Alifukuzwa kwenye chama tangu 2010 baada ya kupinga uteuzi wa Peter Mutharika kuwa mgombea wa Urais mwaka 2014. Baada ya hapo akawekwa kando na ilifunguliwa kesi ya kumvua Umakamu wa Rais, lakini Mahakama ikasema haiwezekani huyo Mama kuvuliwa Umakamu wa Rais.

So, hayo madudu wakati yanafanyika yeye hakuwa kwenye position yoyote ya kumshauri Bingu wa Mutharika. In fact walitaka hata kuondoa ulinzi (security detail) lakini Mahakama ikasema hilo ni kosa.

Mpaka sasa watu aliowaondoa wana matatizo yao. Nikianza na huyo Mkuu wa Polisi, ni kwamba alikuwa na tuhuma nyingi ikiwemo hiyo ya mauaji ya watu 19 chini ya uongozi wake. Kuna madudu kibao ya vifo vya utata vya wanasiasa na wapinzani wa Bingu wa Mutharika. Pia hata kukandamiza demokrasia, majuzi hapa mtoto wa Bakili Muluzi (Atupele) aliwekwa ndani bila sababu za msingi kwa malengo ya kumnyamazisha.

Mkurugenzi wa Malawi Broadcasting Corporation, yeye alikiri wazi kwamba aliwahi kutumia lugha ya kejeri na dharua kwa huyo Mama ikiwa ni maelekezo kutoka Ikulu. Kwamba alielekezwa kutumia lugha chafu na mbaya ili kuwaonyesha wananchi kwamba Joyce Banda is nothing. Hayo ameyakiri juzi LIVE kwenye radio, sio kwamba alisikika kichochoroni. Pia huyu kijana watu wanasema credentials zake zilikuwa questionable. Haijulikani kama aliajiriwa by merit au ndo wale wanapewa kazi halafu wanakuwa wanaagizwa cha kufanya then hawaulizi WHY? Yaani hawatumii taaluma yao katika kutekeleza majukumu yao.

Waziri wa Habari na Utalii [Patricia Kaliati], alitoa Tamko kwamba Joyce Banda hawezi kuwa Rais kwa kuwa alishaondoka kwenye chama, so technically sio makamu wa Rais. Sasa kama mtu anaweza kwenda public kutoa tamko kama hilo, unategemea ukimbakiza kwenye Baraza la Mawaziri atakuheshimu? Atakuamini? Atatenda kazi ipasavyo? Hawezi kukuhujumu ili uonekane huwezi?

Huyo Gavana wa Benki Kuu ya Malawi, anatuhumiwa na ufisadi na kwamba amekuwa akitumia vibaya position yake kwa maslahi yake na anacheza na exchange rate ili aweze ku-benefit. Pia inasemekana ushauri wake ndio ambao ulipelekea IMF na WB kuamua kujitoa kushirikiana na Malawi.

Kwa ujumla, kuna wengi ambao wataondoka na sidhani kama ni kwa visasi, bali ni kuanza na timu ambayo unai-trust na kwamba wako tayari kufanya kazi na wewe. Kuna mawaziri kama wanne wako njiani kuchomolewa ila inabidi wachomolewe kiaina kwa kuwa wameshikiliwa wizara nyeti na ni senior Ministers na hao ndio walikuwa wana engineer kuzuwia Joyce Banda asiwe Rais ili Peter Mutharika ndio abaki kuwa Rais. Ukiwaacha watu kama hao ni sawa na ku-take risk ya kukaa na nyoka ndani mwako ukidhani kwamba hawezi kukugonga.

sipingi yawezekana wana tuhuma za kujibu......ukiondoa mawaziri ambao sheria inamruhusu kuwaondoa hata bila ya sababu lakini mimi ninawatetea zaidi watumishi wa umma ambao kwa ajira zao walipaswa wapewe nafasi ya kujitetea...........kwenye chombo huria...................huyu mama ni adui wa utawala bora...................hawezi yeye kuwa ni hakimu kwenye kesi yake aliyojianzishia yeye mwenyewe.......................lol
 
tatizo ni kuwa yeye amekuwa hakimu kwenye kesi yake.ilipaswa awasimamishe halafu wachunguzwe na chombo huria na mapendekezo ayo yamwongoze katika kufanya maamuzi yasiyo na jazba............ukumbuke alikwishapigwa stop na chama chake kugombea uraisi sasa dhana ya kuwa anajaribu kupanga safu za kugombea uraisi kwa kuwadhoofisha maadui zake wa kisiasa haziwezi kutupiliwa mbali bila ya kufanyiwa kazi........
Hilo la mwanzo kwenye blue uko sahihi Mkuu. Hii mada ilishaletwa kabla, na niliposikia kuwa amemtimua mkuu wa polisi na sasa hao wengine, nilishangaa na kujiuliza kwa nini asiwasimamishe kazi tu na kama kuna lolote walifanyawachunguzwe. Reaction yangu ya kwanza ilikuwa nikutarajia mapinduzi ya kijeshi karibuni. Lakini hata angeunda tume, bado asingesalimika na lawama kwa kuunda tume. Sote tunajua tume zinazoundwa na maraisi hufanyakazi kwa ajili ya nani.

Hilo la kupanga safu kimsingi sioni ubaya wake. Angetumia busara za kuunda serikali yenye mwelekeo wa kitaifa na wala sio kibinafsi, na kama ikiwa anapanga safu kwa ajili ya kumlinda na kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao atakuwa anajijengea maadaui. Hata hivyo, bado ni mapema sana, tusubiri tuone.
 
AshaDii,

Nakubaliana na concern yako, lakini naomba uelewe kwamba amechukua post hiyo kama outsider, ni sawa na chama cha upinzani kinapochukua dola, Ila sema kwamba kasi anayokwenda nayo ni kali, japo bado naona anaenda vyema.

Tatizo kubwa la Rais aliyemtangulia, ni kwamba alikuwa amejaza watu wa kwake na ndio waliotaka kushiriki dhambi ya kum-block huyu mama asiapishwe kuwa Rais. Hivi ungekuwa ni wewe AshaDii ndo unawasikia Mawaziri fulani wanatoa tamko kwamba AshaDii hawezi kuwa Rais wa Nchi hii, hivi unaweza kuwa na imani ya kutosha kuendelea kuwa nao kama mawaziri wako?

What if kama Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji alishakukashifu na kukudhalilisha kwenye vyombo vya habari vya umma, bado utaendelea kumwacha?

I know kuna changes nyingi zinakuja na haswa kwa vyombo vya ulinzi na usalama na pia kwenye cabinet, lengo ni ku-weed out wale wote ambao hana imani nao.

Tatizo la viongozi wengi wa Afrika huwa wana-appoint viongozi kwa malengo ya kulinda maslahi yao. Mkapa aliingia Ikulu na Mahita, Adadi Rajab, Apson, na Ballali. Kikwete alipoingia nae aliwabadilisha wote na kuwaweka Mwema, Manumba, Othman na Ndullu. Vivyo hivyo hata kwenye safu za wakuu wa mikoa na wilaya.

Hayo maswala ya kwamba Mama alijiandaa au la, yana utata sana. Maana kitendo cha Mama kukiri kuwa ni mfuasi/muumini wa TB Joshua, kunazua maswali mengi sana. Tayari wasema ovyo wameishasema kwamba Mutharika aliuawa na wabaya wake na kwamba TB Joshua alitumika kama kipaza sauti tu ili ku-divert attention ya wauaji ambao walikuwa Malawi. Je, hayo anayoyasema Prof. Jonathan Moyo yana ukweli? Inabaki kuwa ni speculation. Sasa nikiunganisha na hizo dots zako kwamba Mama anafanya kazi kwa speed as if alishajiandaa kwamba wakati fulani nitaingia Ikulu na nitafanya changes hizi na zile. Ninabaki mdomo na maswali yanaongezeka zaidi ....

hata mimi naona sasa AshaDii yaelekea anaelewa................hizi njama za huyu mama fisadi................lol
 
Hilo la mwanzo kwenye blue uko sahihi Mkuu. Hii mada ilishaletwa kabla, na niliposikia kuwa amemtimua mkuu wa polisi na sasa hao wengine, nilishangaa na kujiuliza kwa nini asiwasimamishe kazi tu na kama kuna lolote walifanyawachunguzwe. Reaction yangu ya kwanza ilikuwa nikutarajia mapinduzi ya kijeshi karibuni. Lakini hata angeunda tume, bado asingesalimika na lawama kwa kuunda tume. Sote tunajua tume zinazoundwa na maraisi hufanyakazi kwa ajili ya nani.

Hilo la kupanga safu kimsingi sioni ubaya wake. Angetumia busara za kuunda serikali yenye mwelekeo wa kitaifa na wala sio kibinafsi, na kama ikiwa anapanga safu kwa ajili ya kumlinda na kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao atakuwa anajijengea maadaui. Hata hivyo, bado ni mapema sana, tusubiri tuone.

Dalili ya mvua ni mawingu.....................anachofanya ni kurudia kosa la bosi wake wa zamani kufikiria ya kuwa madaraka ukiwa wanayo basi wewe ndiye unajua kumbe sivyo. Uongozi wowote ule ambao unatoka kwa mtu mmoja ujue ya kuwa hauna manufaa kwa jamii............as 4 me I have seen enough of her......she is in a point of no return........sidhani kama atabadilika.........she is heading towards a very dark alley........
 
mi sioni kama kuna tatizo hapo anachapa kazi na kutoa sababu. kwa mfano hapa kwetu ikitokea na mlithi akanza kwa kuwawajibisha watu wanaofanya kesi za EPA, mauaji ya polisi Nyamongo ETC zigande kusikilizwa tutasema wameonewa ??

hiyo mifano yako ina walakini...............EPA na wajomba zake..................jawabu ni mahakamani...........huyu mama anachofanya ni kuwawajibisha maadui zake ambao kosa lao ni kutomwuunga mkono yeye wakati Bingu akiwa hai........wangelimwuunga mkono pengine asingewabughudhi................kama kuna matatizo Benki yawaje gavana aonekane ni tatizo lakini naibu wake aonekane yu swafi?
 
Mpeni nafasi afanye kazi jamani. Hatua anazochukua ni muhimu sana kurudisha imani kwa serikali - maana hapa Malawi watu walikwishajikatia tamaa kabisa. Walikuwa wanauliwa kiurahisi, foleni za hatari za mafuta, sukari, nk na ukosefu mkubwa wa fedha za kigeni.
 
Back
Top Bottom