Rais Joseph Kabila, amfukuza kazi Naibu Waziri Enock Ruberangabo kwa kosa la kupiga punyeto ofisini

Afadhali ya huyo anapiga mkono kuliko ile mijibaba ya West inapumuliwa nyuma
 
Huu ugonjwa ni kama kutumia madawa ya kulevya,ngumu sana kuacha.Inahitaji commitment sana kuacha hii tabia.
 
Inasemekana kuna webcam ilitegeshwa na 'hack' kwenye kompyuta aliyokuwa anatumia bila yeye kujua...kupitia 'Skype'.
achana na mambo ya inasemekana angalia video clip uone jamaa alivyo kuwa anaface camera tena na kurekebisha ikae sawa ili imnase vizuri
 
Rais Jamhuri wa Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila amemtimua kazi Naibu Waziri wa Posta na Mawasiliano kutokana na kusambaa kwa video inayomuonesha akipiga punyeto ofisini
Kwa mujibu wa televisheni ya taifa, RTNC, Kabila amedai waziri huyo, Enock Ruberangabo Sebineza ameliabisha taifa.
Tangu Alhamis iliyopita hadi Ijumaa, video hiyo imekuwa ikisambaa mtandaoni ikimuonesha waziri huyo akijichua ofisini kwake. Nyuma yake inaonekana bendera ya nchi hiyo na picha ya Rais Kabila.
Wananchi wengi wamekasirishwa na video hiyo na kumtaka ajiuzulu.
burundi.jpg
 
Lool kamuchezo balaa hako....
Mtu mzima kabambwa. Kwani form two/three alikuwa wapi!
Naanza kuamini baadhi ya misemo kitu usipokifanya ukiwa dogo utakirudia uzeeni
 
Nikajua mimi tu,kumbe hadi wakubwa!!.kweli huu mchezo hauitaji hasira.
 
sasa kosa ni lipi hapo? mtu anatafuta kuondoa stress ofisin in his own anafukuzwa kazi? kwa hiyo ilikuwa sahihi yeye kuacha kazi na kwenda kutafuta malaya mtaani? au kurudi nyumbani kupoza? kuna vitu vingine havizuiliki sometimes you easy yourself life goes on unaendelea kuchapa kazi kama kawaida. mnataka apige bao mbele ya secretary wake?
Raia wa Congo na rais wao waliangalie kwa makini hili hawajamtendea haki huyo jamaa,
mtu aliyereodi video hii kavunja haki ya faragha ya huyu mheshimiwa, ni sawa na yeye tumfuate tumpige picha au turekodi video akiwa anajisaidia chooni. haya maamuzi ya rais na wakongoman si sahihi.
 
Back
Top Bottom