Rais JK afanya maongezi na waziri mkuu wa uingereza David Cameron mjini Davos

PICHA :JK AKUTANA NA KUFANYA MAONGEZI NA WAZIRI MKUU WA UINGEREZA DAVID CAMERON MJINI DAVOS

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron walipokutana mjini Davos pembeni mwa Kongamano la Uchumi la Dunia jana Januari 26, 2012. Picha na Ikulu

kama kawa ana mmatonya david,pili usharobaro picha ya pamoja
 
Hii pic inatofauti gani na ile aliyopiga na 50cent!? ama siku hizi anapiga pic na viongozi wa nchi matajiri kuonyesha kuwa kama kuomba msaada kashaomba .
 
Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu itoa press release juzi na kusema kuwa moja ya mambo yanayompeleka rais Kikwete Davos ni kukutana na 'watu mashuhuri'. Naomba niishie hapo. lazoma ni-frame hii picha kwa ukumbusho wa watoto wangu!

Iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo nami ngoja niiweke !
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Jamani JK vp tena?! Walikua wanajadili nini tena au ndo anamtaka radhi baada ya kukutaa sera zake za ushoga ninawasiwasi na mada waliyokua wanataka kujadili!!!.
Anyway usilojua ni sawa na usiku wa giza!!!

Uuuuwiii! Tufwile nyampala! Huyu ni mtu hatari sana! Hakawii kuwa ameshatuharibia kidume wetu!
 
kwa mkuu anayojua kupgia debe misaada hakwaii kukubaliana na matakwa ya Cameron....Yarabi toba mkatae.
 
Kwa mada kama hii inabidi ninywe maji kwanza ndo nitapata nguvu za kuchangia.
 
nauza chu-xxlv za chuma na kufuri za Italy, JK sijui alinawa mikono naona kama alimtaimu akashindwa kukwepa mkono.
 
Acheni upuuzi hapa ma great thinker mmeshindwa kujua kuwa miaka nenda miaka rudi tz tunategemea jasho la hao jamaa?hivi hamujui kuwa mwenye chake muungwana?sasa mulitegemea jk amkoromee au amnyime mkono?thubutu yenu mtakunya mmesimama. Dawa si kukataa kuongea nao baado kabisa hatujafika huko dawa pekee ni kujiwezesha kwa kutumia akili,nguvu na rasilimali tulizonazo ili kuepuka kuwa ombaomba kinyume na hapo mutaliwa mchana kweupeee
 
cameroun ni baba wa ushoga, Jk ukimpa mkono unapaswa kwenda kunawa mikono huyo jamaa ni najisi kwetu watanzania


CCM yako na JK wako wanashinda wanaomba omba huko utasemaje najisi ? Wewe mwenyewe najisi hapa JF kima wewe .Ongea point sometime unatuudhi wengine ila tunakaa kimya .
 
Back
Top Bottom