I predicted this and he will never delegate to his juniors until 2015 to attend any international gathering!!!
Kwenye mikutano kama hii ni vyema tukawakilishwa na Mabalozi wetu waliopo kwenye nchi hizo
Kweli mkutano huu una tija kwa watz?Kwa nini Rais wetu kila siku anakwenda kwenye vimikutano ambavyo Balozi wetu angetosha kutuwakilisha na kutupunguzia gharama?
Naunga mkono hoja kuwa si lazima Rais wetu aende kuiwakilisha nchi kila mkutano, hasa pale ambako nchi haipati tija yoyote. Kwanza ebu tujiulize, nchi za Kiafrika ngapi zimewakilishwa na maraisi wao? Tunaweza shangaa kuona kuwa ni nchi moja au mbili tu za kiafrika ndizo marais wameenda!!!!! Wengine wamebana kwa kuhurumia uchumi wa chi zao!!!
Unaambiwa budget ina deficit na hata hajui atapata api pesa ya kujazia manake wanaume wenzie wamemnyondea,TRA wameshuka katika makusanyo kwa asilimia 18 Mtoto wa mkulima anakataa kupanda GX mpya wakati yeye ndio aliruhusu magari yanunuliwe manake mawaziri walibaki madarakani mpaka iku ya mwisho atasemaje walinunua bila yeye kumshirikisha huu si uhuni wa serikali hii mwache akakinge bakuli kama ataambulia kitu mwendawazimu raisi asiye nafikra za kuwatumikia wananchi wake
Kaanzia kwa Hosni ambaye pia anatuhumiwa kuchakachua kura!
Kwenye mikutano kama hii ni vyema tukawakilishwa na Mabalozi wetu waliopo kwenye nchi hizo
Kweli mkutano huu una tija kwa watz?Kwa nini Rais wetu kila siku anakwenda kwenye vimikutano ambavyo Balozi wetu angetosha kutuwakilisha na kutupunguzia gharama?
swali?je hizo nchi za wengine kwenye mikutano kama hiyo wanaenda mabalozi?
au nyinyi tu tanzania ndio mnajua sana utaratibu?
kwanza mwacheni mheshimiwa akapate lotion ya hewani!