Rais Jakaya Kikwete leo asubuhi amekutana na baraza lake la Mawaziri Ikulu kulikoni?

Hii ni katika kutapatapa kwa Serikali ya Chama Cha Mafisadi(CCM).

Hii nchi kwa sasa hatuna viongozi ila tuna wababaishaji na wasanii!

Msitegemee kama kutakuwa na lolote la maana kutoka kikao hiki.Sana sana kitakachoongelewa hapa ni maswala ya namna kuwalipa DOWANS,namna ya kuwadhibiti CHADEMA na namna ya kwenda LOLIONDO KWA BABU!!
 
Wameenda kugonga gahawa ya 25,000 kila mtu na baadae watakutana kwa lunch ya 50,000 wakati mafuta yamefikia 2100
 
Back
Top Bottom