Rais Jakaya Kikwete leo asubuhi amekutana na baraza lake la Mawaziri Ikulu kulikoni?

anajadili tu upupu, pamoja na Sokwe mtu, anawaambia yeye ameshapata sehemu ya kukimbilia Saudi arabia sijui wao, mzee sokwe yeye kasema atakuwa wa mwisho kama CDM tutaamua kumtoa
 
Hawana jipya hao...kwani ni mara ya kwanza kukaa kwenye hivyi vikao...mbona no changes....

stopsayingwords.jpg
 
Sitegemei kitu cha maana,baraza lina watu wachache ambao wanaweza kuisaidia tanzania
Unategemea nini toka kwa waziri kama SS?
 
Dakta Dr. Dk. Jakaya amefilisi Taifa hili. Inawezekana alikuwa na lengo jema la kulifanya Taifa liwe kama Dubai ila ila tu hakuwa na uwezo wa kuliongoza kufikia lengo lake.
 
Vikao vya baraza la mawaziri yanayojadiliwa ni siri,kama kuna la kutangazwa basi tutaambiwa. Mawaziri kumbuka huapa kwa Mungu kuwa hawatatoa siri za baraza, na wanaotoa siri basi inapaswa kuadhibiwa .Kuvuja kwa siri za serikali inatokana na viongozi wasio na imani juu ya Mungu na baadhi kuwa wanafiki.
 
Mkulu kama vile anamwambia mhe Sitta "Mlango ndio huo unaweza kutoka bana".... nahisi hivyo



Wakuu hebu tujaribu kuvuta picha ya haraka hapa inavyoonekana alimfukuza sita kwenye hiccho kikao......Hebu chekini hiyo picha ya kwanza ishara ilivyo na hizi pichaa mbili hapo naona mara sitta akawa hayupo...Hebu tupeni mpre info nini kimeendelea huko ndani!
 
Kabisa hata mimi naona hivyo si unaona hao mawaziri wengine wote wamekaa kama kuna mshangao fulani hivi au kuna kitu kinaendelea hapo......Alafu angalia hizo picha mbili zingine sitta alikuwaa hayupo.......So hapo kutakuwa na kitu tu!!
 
baraza kubwa kama darasa la shule ya kata. ila expenditure yake kwa mwezi mmoja tu inazidi bajeti ya bajaji kwa wajawazito nchi nzima! only in TZ

Glory to God
 
... a waste of our time and resources bure!! Kwani anaondoka lini tena kutuongezea gharama na ughumu wa maisha kwenda kula pizza ughaibuni???
 
You might thinking they are discussing very productive things for Tanzanians. Hakuna ideas wala lolote ni picha za michuzi, dairy news na tbc tu. Kula chakula na kutumia pesa za wananchi bure. Kitu gani wame-accomplish walipo kaa last time au tangu 2005? Si walilipa Dowans Ok kulipwa na kurudishwa Tanzania ili Rostam aendelee kutuchapa viboko.

I am just sick and tired to see my tax funds being explore like this.​
 
Back
Top Bottom