Rais Jakaya Kikwete kuongea na Waandishi wa habari leo !

TBC1 wamesitisha matangazo ya moja kwa moja ya bunge watajiunga na Ikulu muda wowote kuanzia sasa nyimbo za amani na ....zinapigwa nadhani issue ya Malawi haikwepeki.
 
Wadau,

Leo majira ya saa 9 Alasiri, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh Jakaya Kikwete leo atakuwa na mkutano na waandishi wa habari Ikulu- Magogoni !

Tusubiri tuone atakuja na lipi !

Nawakilisha !

Mods, tafadhali unganisheni zile threads nyingine 2 kwenye hii iliyowekwa mapema.
Thread 3 kwa ajili ya topic moja tu........aaarrrrrrg!!!
 
nyani haoni kundule! wewe umeyajuaje hayo! kama si mshiki wa hayo.
Wee ndio msemaji wake? Au ndio Salva mwenyewe? Mi nimesema alionekana kurasa za mbele za magazeti kibao ya juzi! Au wee Magamba hukuona? Kama unasoma Uhuru tu hutaweza kujua mazingaombwe yanayofanywa na Wanachama wa Mabwepande!
 
si hata dr! alikimbia kanisa ili kujiunga na hayo mazingaombwe unayoyazungumzia! kama unalikana kanisa na kulikimbia sasa kipi kinafwata zaidi ya kuwa miongoni mwao! wewe mwenyewe utakuwa ni mshirikina mzuri mana inaonesha unazijua mpaka sehemu za wakubwa, kweli we htr! ngoja nikuacha usije ukanitokea kwenye pc yangu bure.
 
mwenye riport kamili atujuze tulio mbali anradio hizo tbc taifa tupate mwanga.
 
si hata dr! alikimbia kanisa ili kujiunga na hayo mazingaombwe unayoyazungumzia! kama unalikana kanisa na kulikimbia sasa kipi kinafwata zaidi ya kuwa miongoni mwao! wewe mwenyewe utakuwa ni mshirikina mzuri mana inaonesha unazijua mpaka sehemu za wakubwa, kweli we htr! ngoja nikuacha usije ukanitokea kwenye pc yangu bure.
Bold ya kwanza: Nashukuru kwa kuwa umekiri kuwa kumbe mazingaombwe ninayoyazungumza yapo!
Bold ya pili: sio sehemu za, ni sehemu moja tu tena ya Msoga ambayo iliandikwa kwenye magazeti. Tofautisha wingi na umoja, hivi wewe GAMBA umeenda shule kweli? Au ndio hizi za mwanafunzi asiyejua kusoma wala kuandika akafaulu mtihani wa Std VII? Shame on you! Pia uelewa wako hata sisimizi anakuzidi, mimi nimesema NILISOMA na sio kwamba NILIONA/NILIKUWEPO. Hii ni kudhihirisha jinsi gani Nepi ana makamanda wenye Akili Ndogo kama yako!
Bold ya Tatu: Nani Mkubwa, M.K.W.E.R.E.? Huyu si mhuni tu mcheza ngoma wa Bagamoyo? Ana ukubwa gani? Labda ukubwa wa kichwa ndani kuna akili moja tu! Pambaf!
 
We markj lazima utakuwa mfuasi wa chama cha wavua magamba.
Mbona unamtetea huyo M.k.w.e.r.e?
 
Bold ya kwanza: Nashukuru kwa kuwa umekiri kuwa kumbe mazingaombwe ninayoyazungumza yapo!
Bold ya pili: sio sehemu za, ni sehemu moja tu tena ya Msoga ambayo iliandikwa kwenye magazeti. Tofautisha wingi na umoja, hivi wewe GAMBA umeenda shule kweli? Au ndio hizi za mwanafunzi asiyejua kusoma wala kuandika akafaulu mtihani wa Std VII? Shame on you! Pia uelewa wako hata sisimizi anakuzidi, mimi nimesema NILISOMA na sio kwamba NILIONA/NILIKUWEPO. Hii ni kudhihirisha jinsi gani Nepi ana makamanda wenye Akili Ndogo kama yako!
Bold ya Tatu: Nani Mkubwa, M.K.W.E.R.E.? Huyu si mhuni tu mcheza ngoma wa Bagamoyo? Ana ukubwa gani? Labda ukubwa wa kichwa ndani kuna akili moja tu! Pambaf!

hahaha! kweli wewe box!pointless, uneducated chick! yani unajiona unaelimu mwenyewe kwa utumbo unaouandika! wewe kweli huna akili simple tu embu fikiri dr slaa mzinifu ambaye kaliibiia kani na kulikana kafanya hayo ndio ashindwe kukukana na kukuibia wewe box! mtu akikwambia mkubwa wewe unaelewa kitu gani kwani, kinyume cha mkubwa ni mtoto, sasa wewe mbona unasema muhuni kudis ukubwa! kikwete ni rais wako na nimkubwa wako! utake usitake! kama hutaki ukane utanzania ukawe shoga marekani!! kila kabila lina ngoma hata baba namama yako walicheza ngoma na ndo man ukiolewa wewe watacheza ngoma ya kikwenu! tatizo akili zako umezikalia! hujakomboka kielimu, unajifanya unaelimu kumba umejaza pumba kichwani! SJUMAA06(SHOGA JUMAA nO 6) sijui hao no1-5 watakuwa! kapanguswe kule.
 
Uzuri mimi nakukosoa kwa mifano, e.g. hebu angalia kwenye hizo bold sijui haya ni maneno ya Kikwere????!!!! Kama Kiswahili tu ndio unaandika hivi kwa sentensi zisizozidi kwenye aya moja, je ukiambiwa uandike kitabu? Hizi si ndio akili ndogo ninazozisema? Sasa cheki kwangu, huwezi kukuta kosa liwe la kisarufi au kifasihi! Ila bado unaniona sijaelimika bila hata ya kutoa mfano ku-support unachokisema! Wewe umeandika hovyo, umeunganisha maneno mawili tofauti na sentensi hazina mtiririko unaotakiwa. Sijui ndio Form 4 za Shule za Kata? Nakufananisha na mwandishi wa lile Tamko la TISS, kidogo nilie kuona Idara nyeti kama ile ina vilaza namna hiyo! Ndugu yangu, kama tungeweza kukutana nikakuonyesha vyeti vyangu hakika ungesalimu amri! Nina elimu kubwa zaidi ya huyo KIWETE wako unayemsema ni Mkubwa. Ni kweli, ni Mkubwa kwako maana kakupa ulaji hata wewe usiye na elimu ya kutosha! Kwanini usimsifie? Umegeuka kuwa Zuzu, Vuvuzela na Kibaraka wa Wanazi wa Mabwepande! Endelea kukomaa na meli iliyotoboka ipo siku utakumbuka boya wakati tayari yameshachukuliwa! KILA LA KHERI Magamba!
 
no one is perfect at all! kwa kulijua hili ndomana hata wewe kuna maneno unakosea sija ya bold mf:nape umesema nepi! sina uboya kama wako wewe kiungo! tatizo mnajifanya mko perfect 100%, unaongea mambo meeengi! unaimba taarabu nini! zzk kashaanza kukuumbua na bado wengine wanafwata akiwemo mwizi wa magari arusha! TISS huijui wewe unaisikia tu embu kanyonye,leo ndo unajifanya unaijua tiss
 
Kwenye italic: Kusema Nepi si kwamba nilikosea, mara nyingi huyo Nape wako huwa namuita Nepi kwani kazi anayofanya ni sawa na nepi ya mtoto mdogo! Yale yale, cheki hapo kwenye bold hapo, yale yale. Markj, kwa mtindo huu wewe ni KILAZA ambaye sijawahi kuona! Hivi umesoma kweli wewe? Nina wasiwasi na elimu yako, ndio maana unawasifia TISS. TISS iwe Bongo? Hivi unazijua Idara za Usalama wa Taifa wewe? Unadhani hii ya M.k.w.e.r.e ni Usalama wa Taifa au Uhasama kwa Taifa? Ama kweli aisifuye mvua imemnyea!!!!!!!!!!!!
 
Ninyi wote hamna akili na nadhani wote ni vilaza!!! Wooooote mmeimba taarabu! How can I support u finacially to perform a song in the studio? Poof guys!!
 
Back
Top Bottom