Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,323
- 6,810
Kachumbali si mboga, ila wakati inanogesha sana chukula kuliko mboga.I like this...Analipwa mpaka Posho ya kuwahudumia Waganga wake wa Kienyeji Wanne aliotafutiwa na Makamba Sr.
Kachumbali si mboga, ila wakati inanogesha sana chukula kuliko mboga.I like this...Analipwa mpaka Posho ya kuwahudumia Waganga wake wa Kienyeji Wanne aliotafutiwa na Makamba Sr.
Huyu nae kaanza! Kafue ushungi huo.Waulize TRA
Kwa mujibu wa Jedwali la Pili la Sheria ya Kodi ya Mapato.........
EXEMPT AMOUNTS
(Made under section 10)
1. The following amounts are exempt from income tax -
(a) amounts derived by the President of the United Republic or the President of the Revolutionary Government of Zanzibar from salary, duty allowance and entertainment allowance paid or payable to the President from public funds in respect of or by virtue of the office as President;
nipeindapa hoja but umewagusa magamba wote kimya
Ndugu wana JF,
Ni jambo la kawaida kwa wananchi kujua mapato ya Viongozi wa nchi hususani the highest office in the land, Viongozi wengi ambao hawana nia ovu huweka hadharani mapato yao na kodi walizolipa na wananchi wao kujua na tena kuonyesha mfano wa kuigwa kwamba hata raisi wa nchi analipa kodi na hatumii nafasi yake ya uraisi kwa manufaa yake na familia yake, kujilimbikizia mali na kutolipa kodi kwa kipato anachopata.
Hapa chini ni mfano wa Raisi wa Marekani Barack Obama ambae alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya mapato yake kwa mwaka na kodi anayolipa bila kujali nafasi aliyonayo. mapato na kodi ya raisi obama na mkewe kwa mwaka ni:
Obama Taxes & Income: President & First Lady Paid $453,770 In Taxes On $1.7 Million Income
soma zaidi kwa kufuata link hii Obama Taxes & Income: President & First Lady Paid $453,770 In Taxes On $1.7 Million Income
Je ni kwa nini viongozi wa kiafrika wanakuwa na usiri sana kuhusu mapato yao na kodi wanazolipa, kwa nini viongozi wetu wasiwe wanatoa taarifa za mapato na malipo ya kodi kwa vyombo vya habari ili kuonyesha mfano? Na wananchi kujua vyanzo vya mapato ya raisi.
Je ni watanzania wangapi wanaojua mshahara wa raisi Jakaya Kikwete na marupurupu yote na posho ni kiasi gani? Je raisi JK na familiya yake wanalipa kodi kiasi gani kwa mwaka?
Lazima tujenge uwazi na kujua mambo muhimu kama mshahara wa raisi na kama raisi wetu analipa kodi au la! Ningependa kuwakilisha hoja yangu ili tuweze kudadisi na kujua mapato na malipo ya kodi kwa raisi wetu.
Natoa shukrani kwa Zitto Kabwe kwa kutufahamisha mapato ya wabunge na posho zote but tunataka kujua wabunge wetu pia wanalipa kodi kiasi gani kwa mwaka?
Kwa mujibu wa Jedwali la Pili la Sheria ya Kodi ya Mapato.........
EXEMPT AMOUNTS
(Made under section 10)
1. The following amounts are exempt from income tax -
(a) amounts derived by the President of the United Republic or the President of the Revolutionary Government of Zanzibar from salary, duty allowance and entertainment allowance paid or payable to the President from public funds in respect of or by virtue of the office as President;
Kwa mujibu wa Jedwali la Pili la Sheria ya Kodi ya Mapato.........
EXEMPT AMOUNTS
(Made under section 10)
1. The following amounts are exempt from income tax -
(a) amounts derived by the President of the United Republic or the President of the Revolutionary Government of Zanzibar from salary, duty allowance and entertainment allowance paid or payable to the President from public funds in respect of or by virtue of the office as President;
Zamani nakumbuka enzi za Mwl Nyerere mishahara yote ilikuwa wazi, kuanzia Raisi mwenyewe, mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya,wabunge, wakuu wa majeshi yote nk; nk. Kujua mishahara ya watumishi wa serikali ni haki ya mwananchi kuanzia Raisi, maana hiyo itaondoa utata na kuepuka ufisadi. Kwani kutaja mali za viongozi nia yake nini, si kuondoa utata wa harufu ya ufisadi????????? Hivyo kama kuna wahusika hasa Ikulu HR wamwage data zote hapa, pamoja na mkuu wa utumishi serikalini alete data hapa watu waelewe!!!!!!!!!!Mshahara wa Rais wa Tanzania na marupurupu yake yote ni SIRI ya ikulu - huu ni utamaduni na sheria tuliojiwekea kwamba hakuna mamlaka yoyote nchini yenye nguvu ya kuhoji kitu chochote kinanchumhusu rais wetu likiwepo hili la Mshahara.