Rais j.kwete atunukiwa tuzo ya uongozi bora

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhiwa Tuzo ya Uongozi Bora wa sera ya Kilimo na Chakula toka kwa Bw. Ajay VAshee, Makamu Mwenyekiti wa asasi isiyo ya kiserikali inayohusika na sera za kilimo na chakula na Maliasili n ijulikanayo kama Food, Agriculture and Natural Resources Policy (FANRPAN) katika hoteli ya White Sands jana Septemba 5, 2012. Anayeshuhudia kulia ni Katibu Mtendaji wa FANRPAN) Dkt Lindiwe Sibanda. Tuzo hiyo, ambayo hutolewa kwa kiongozi aliyefanya juhudi kuhakikisha kuwepo kwa sera bora za kilimo na chakula nchini kwake, ilichukuliwa na Malkia Ntombi Indlovukazi wa Swaziland mwaka jana, wakati Rais Hifikepunye Pohamba alitunukiwa mwaka 2010, Rais Armando Emilio Gwebuza mwaka 2009 na Rais wa Malawi, Hayati Bingu Wa Mutharika, aliipokea mwaka 2008.

LEMUTUZ BLOG
 

Attachments

  • 0L7C0336[1].JPG
    0L7C0336[1].JPG
    35 KB · Views: 67
ukiongozwa na KIPOFU hakika utaelekea shimoni...na hicho ndio kinachotokea TANZANIA
 
OMG!!! Dah! aniways kama ni kwa sera tu naweza kubali ila kwa utkelezaji mh......
 
Angejuwa wanamsanifu 2 asinge kubali kupokea

ngoja nikalime na jembe la mkono
 
Why at White sands and not STATEHOUSE?

FANRPAN in collaboration with the Economic and Social Research Foundation (ESRF), the FANRPAN Tanzania Node Hosting Institution are convening the 2012 FANRPAN Annual High Level Regional Food Security Policy Dialogue in Dar Es Salaam, Tanzania 03 – 07 September 2012 at the White Sands Resort and Conference Centre. The theme for the policy dialogue is "From Policy to Practice: Advocating for the Active Engagement of Youth in Agriculture Value Chains."
The policy dialogue, with an estimated attendance of over 200 participants provides an opportunity for FANR stakeholders such as, governments; policy research institutions; universities; farmers organisations; private sector and civil society to review the current status of youth engagement in agriculture value chains; share lessons and experiences; identify challenges and opportunities and come up with tangible resolutions. The policy dialogue will also showcase best practices from Africa and beyond in line with FANRPAN's five thematic thrusts:

  1. Food Systems
  2. Agriculture Productivity and Markets
  3. Natural Resources and Environment
  4. Social Protection and Livelihoods
  5. Institutional Strengthening

<tbody style="border-top-style: none; ">
</tbody>
 
Jakaya Mrisho Kikwete anaendeleza kuweka rekodi ya utawala uliotukuka Tanzania. Hongera sana.
 
amechemka kwa kila kitu nasasa anajitafutia umaarufu wa kutengeneza wakati hata watoto wanajua kuwa ni kiongozi mbovu zaidi kuwahi kutokea tz.
 
Back
Top Bottom