Elections 2010 Rais Dr. Slaa akiingia fedha zenu za DECI 98% mnazipata

MTWA

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
1,166
166
Moja ya vitu ambavyo Rais mpya anahofiwa ni zile pesa za watu maskini waliokopa ili wavune kupitia DECI, na serikali ikazificha na haijulikani zilipo.

Rais Slaa akifika tu ikulu wale mafisadi wa kuiba zile hela watakuwa na hali ngumu sana
naona matumbo yao sasa moto.
Na nionavyo mimi ni serikali yenyewe ndo ilikula, na ndiyo maana wanamwogopa Dr. wa ukweli
 
Back
Top Bottom