"Rais" aungana na madaktari kugoma !

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,079
KUTOKA KIJIWENI

Kweche: Hii ni hali ya hatari !

Susei: Kwa nini unasema hivyo, kulikoni?

Kweche: Madaktari wote wamegoma, walianza wale wakawaida, sasa nasikia na madaktari bingwa nao wamegoma, unajua madaktari bingwa wana digrii za udaktari nyingi sana.

Lujei:Nasikia na Chikwete mkuu wa kaya anazo digrii za udaktari zaidi ya tano, kwa vyovyote atakuwa amegoma, ni daktari mbingwa yule ati.​
 
Back
Top Bottom