Rais ateua Makatibu wa mikoa wapya

Rwiai

Member
Jul 17, 2009
45
4
Makatibu wa Mikoa wapya wameteuliwa leo na uteuzi wao unaanza rasmi tarehe 21/03/2012.

(source Chanel ten habari saa 1jioni)
 
Mkuu uko kwenye baa ipi??? Na umekunywa pombe ainagani???? Kama umekunywa PINGU nakushauri uziache zinakuharibu akili, angaliasasa hii unayoleta hapa. Oh Back to the point.............

1. Tanzania hatuna cheo ulichotutajia hapo.........
2. Uwe makini unapokuwa unasikiliza news ili uelewe vema...........
3. Uwe unaingia jamvini mara kwa mara kuona kuna mpya gani........
4. By the way tukusaidie JK kateua makatibu TAWALA wa mikoa na hii kitu ipojamvini tangu mchana leo........

Once again, Umekunywa pombe gani??? Nenda kalale now! Ulevi Noumer!!!!!!!

Thanks mkuu huyu jamaa amenimix
 
Back
Top Bottom