Rais arejesha eneo kwa wananchi Arusha Mjini

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Baada ya maandamano ya zaidi ya wananchi 5,000 wa kata ya Moshono na Mlangarini mwanzoni mwa mwezi huu kwenda kwa mkuu wa mkoa Magesa Mulongo kufuatilia fidia iliyoota mbawa ama kurejeshewa eneo lililotekwa na JWTZ hatimaye Mkuu huyo wa mkoa amewaeleza wananchi hao jana kuwa rais ameamua kuwarejeshea wananchi eneo hilo.

Shukran kwa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) na mbunge wa Arusha mjini Bw Lema waliokuwa nyuma ya hiyo 'land protest' ndivyo wananchi wanavyosema...
 
hapo sasa nataka niende nikanunue kwa kila mwananchi hilo eneo liwe langu, kwasababu wananchi hao hawachelewi kuliuza kwa watu wengine kutokana na ugumu wa maisha....tena ardhi arusha dili.
 
Arumeru wajifunze. CCM ni porojo kwa kwenda mbele, kama wanataka mashamba yao wawachagua wazee wa kazi - CHADEMA.
 
Baada ya maandamano ya zaidi ya wananchi 5,000 wa kata ya Moshono na Mlangarini mwanzoni mwa mwezi huu kwenda kwa mkuu wa mkoa Magesa Mulongo kufuatilia fidia iliyoota mbawa ama kurejeshewa eneo lililotekwa na JWTZ hatimaye Mkuu huyo wa mkoa amewaeleza wananchi hao jana kuwa rais ameamua kuwarejeshea wananchi eneo hilo.

Shukran kwa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) na mbunge wa Arusha mjini Bw Lema waliokuwa nyuma ya hiyo 'land protest' ndivyo wananchi wanavyosema...

Kumbe ata arumeru inawezekana
 
Isije kuwa ni maamuzi ya ghafla kupima joto la uchaguzi ARUMERU. Hata hivyo kama hakuna ulaghai wowote ni jambo jema
 
hapo sasa nataka niende nikanunue kwa kila mwananchi hilo eneo liwe langu, kwasababu wananchi hao hawachelewi kuliuza kwa watu wengine kutokana na ugumu wa maisha....tena ardhi arusha dili.

unaweza bei,eneo la mita 10 kwa 10 ni tsh 12m.halafu hatusemi ugumu wa maisha ndo inawafanya wauze ni kutafuta mitaji.itakuwa sahihi pia 2kisema wewe unaeenda kununua ni laghai na bwanyenye?
 
Hawauzi kwa sababu za ugumu wa maisha wanatafuta mitaji,wewe ukiuza kagari kako ni ugumu wa maisha?
 
Kurudishwa maeneo ni jambo moja, Mabomu nayo yatahamishwa? isije ikawa yale ya Mbaga na Gongo.

Ikiwezekana basi na kambi ihamishwe pia, Hivi umewahi kufika maeneo husika? Nyumba za raia zinazunguka kambi ya jeshi
nyingine kwa kutoelewa zipo umbali usiozidi mita 400 kutoka kwenye hifadhi za yaliyotokea Mbaga na Gongo. Tusifurahie tu, hatua zaidi zichukuliwe yasije yakajirudia.
 
Hakika CDM ni jembe kwa Wanainchi.
Na hili ilikuwa inanishangaza sana JWTZ kupewa makazi ya raia.

Yale maekari waliochukuwa kuanzia pale Wilaya Monduli pale Dukabovu mpk Makuyuni isipowatosha itakuwa juu yao!

Viva sana Chama cha Maendeleo na Demokrasi kwa Wanainchi wako!
Ingali mafisadi watakuwa wamejaa upepo lakini hii imewameza nao!
 
Anataka kura huko arumeru baada ya hapo utaona watu watakavyokula mkong'oto.
 
Wakiiweka vizuri hii na kwa kumtumia kamanda mwenyewe L,Godbless akasimamia show itawasaidia CDM kumimina mabomu ya nyuklia juu ya vichwa vya kina Mwigulu
 
Baada ya maji kuzidi unga ndio wanawalainisha wananchi walikuwa wapi siku zote (source babu ODM)
 
Kama hii habari niyaukweli basi inamaanisha serikali ya CCM haiwezi kuwajibika mpaka watu waandamane japokua wao wanadai maandamano ni kuharibu amani? Mbona sasa kama ni kweli wahusika wamerudishiwa mashamba yao si juzijuzi tu raia hawa waliandama mpaka kwa mkuu wa mkoa Maggesa!!!! Basi maandamano ndio dawa ya kuleta maendeleo na haki kwa kizazi cha sasa hivi nchini Tanzania.
 
Back
Top Bottom