Rais Anayeongoza kwa Kusafiri Afrika

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Wadau.. hivi katika Afrika ni Rais gani anayeongoza kusafiri nje ya nchi???
 
Marais wawili ambao hawatulii sana nchini mwao ni Jakaya Kikwete wa Tanzania na Robert Mugabe wa Zimbabwe (wenyewe humuita Vasco da Gama.)
 
unahitaji twishen bila shaka.
isije ukadhani tony blair ni rais wa tunisia bureee

.
Mie nadhani Nyerere anaesafiri kuliko nyerere wote Africa ni Jeikei. Huyu jamaa ni nyerere wetu wa mambo ya nje.
 
Back
Top Bottom