Rais anatakiwa akae kwa staha na heshima si hivi

Kwenye msiba nako mnajadili watu wakaeje! Hatujapata kuwa na Rais anayehudhuria misiba ya watu wake kama huyu baba. Mengine yote msemeni mnavyotaka. Huyu Rais wetu wa sasa anajali sana matatizo ya kijamii ya WATANZANIA wenzake..........

........wenye maslahi kwake
 
mbona hawa wasio waislamu wote wameshikilia nyeti zao utafikiri kuna freekick inapigwa bana?

_45588726_baines_getty416.jpg

Mambo ya humu ndani hata kama huna mpango wa kucheka inabidi ucheke tu!Dah!Haya bana heri ya mwaka mpya.
 
Amekaa kama Eddy Mapphy kwenye ile sinema ya coming to America wakati anamsubiri Lisa..
 
Akae vipi?angekaa kama home boy mngesema ooh kanyoosha miguu.angekaa kama shemeji mngesema ooh anafikiria demu wake hali yuko msibani mbona hamueleweki kama mchuzi chukuchuku
 
Hiyo ni hoja ya kipuuzi, tatizo liko wapi hapo ulitaka akunje nne ndio ufurahi.
 
Duh, hivi Mh. aliwakosea nini jamani, kwani kuna tatizo gani alivyokaa?
 
Duh, hivi Mh. aliwakosea nini jamani, kwani kuna tatizo gani alivyokaa?

Angalia wenzie walivyokaa, wameziba nyeti. Yeye kaikenua kwenda mbele kama sandakalawe vile. Check wa kwanza na wapili walivyojistili na wanne pia yeye full kujiachilia.
 
Back
Top Bottom