Rais anatakiwa akae kwa staha na heshima si hivi

Hapo kwa JK hakuna Tatizo.Labda huyo mzee wa Kwanza Kushoto, amerelux sana.
 
Big BEN mi namkubali sana ila nikikumbuka zile nyumba zetu walizouziana mil 3 mpaka 5 nachukia sana..
 
Unaombewa na kuzikwa na MAFISADI wazito namna hii.....mbinguni mlango utafunguka kweli?
 
Rais yuko huru kufanya lolote msibani......hata kulala

m15mmvm5.jpg
 
Kwenye msiba nako mnajadili watu wakaeje! Hatujapata kuwa na Rais anayehudhuria misiba ya watu wake kama huyu baba. Mengine yote msemeni mnavyotaka. Huyu Rais wetu wa sasa anajali sana matatizo ya kijamii ya WATANZANIA wenzake.
Are you serious??
kujali matatizo ni kwenda kwenye misiba? wakati aliyekufa kakosa dawa mseto?

basi, kuwa karibu na wananchi kama maana yake ndo hii, basi, tutegemee maisha bora mwaka 3000.
 
Kwenye msiba nako mn ajadili watu wakaeje! Hatujapata kuwa na Rais anayehudhuria misiba ya watu wake kama huyu baba. Mengine yote msemeni mnavyotaka. Huyu Rais wetu wa sasa anajali sana matatizo ya kijamii ya WATANZANIA wenzake.

ndo mambo anayopenda hayo..akae ofisini mi report ya kiingredha migumu ka nini kusoma anaogopa. ..ndo maana kutwa kwenye mahitima kama sheikh ukwaju
 
watu wa dini wanakaa hivyo kwenye mkeka sio kwenye kiti. Haahaahaaaa.....!!. Mia
 
Back
Top Bottom