Rais anatakiwa akae kwa staha na heshima si hivi

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
attachment.php
 

Attachments

  • aa.jpg
    aa.jpg
    47.2 KB · Views: 2,360
Anatakiwa aweke unyayo chini na miguu sawa sio anajitanua panua tu..Muangalie Mkapa amekaa kiRais zaidi
 
Kwani hivyo alivyokaa amekosa staha gani? Naona anapiga dua hapo, kuna tatizo gani?
 
Kwenye msiba nako mnajadili watu wakaeje! Hatujapata kuwa na Rais anayehudhuria misiba ya watu wake kama huyu baba. Mengine yote msemeni mnavyotaka. Huyu Rais wetu wa sasa anajali sana matatizo ya kijamii ya WATANZANIA wenzake.
 
Jama vitu vingine ni mambo ya kidini.......yaani nyie kila kitu mnakiangalia kwa jicho la siasa? Badilikeni
 
huu ni umaskini wa hoja,huhitaji elimu ya hadi digrii moja kujua kwamba alieleta hii thred amefilisika kimawazo na anafikiria kutumia meya wa jiji la DSM.Ivi we unafikiri ukiwa rais ndo ukae mguu sawa kila mahali?kwa hiyo unakuwa mtumwa shuna uhuru tena?hebu usitupotezee muda bana tuna mambo mazito ya kitaifa hapa yanatusubiri TUNA DISCUSS ISHU YA HAMAD RASHID KUFUKUZWA UANACHAMA na political future ya nchi ya nchi yetu.
 
ndo nyie ukipewa uenyekiti wa kijiji hutaki tena kukaa na watu usikilize matatizo yao,kina obama wapo mitaani wanadunda tu mitaani na washkaji zao we unaangalia mkao,ovyo sana...ndo matatizo ya kutotembea,unaambiwa tembea uone mengi,we upo tu hapo kijijini kwenu tangu umezaliwa umejifunza computer kdg ndo wajiona mjaaaaaanja!badilika wewe.
 
Kwamimi sioni tatizo la ukaaji kwa hapo kwasababu kuu mbili kwanza sehemu usika na yatokeayo kinaweza kua sababu tosha. Kwa halaka ilikua ni kama kunasomeka dua tena bila kuko0sea ni ya kiisilamu there was no way out zaidi ya yeye kufanya ivyo kwasababu mungu ana rais sote ni binadasawa kwake na sote tunapaswa kumueshimu na kumsujudia . Mr pr beni ni utamaduni wa kikristu kuonyesha eshma na unyenyekeve . So ki msingi wote wanafanya kitu sawa na si kosa. Kwa mungu no ubishoo wala kijiona ni kusujudia kwenda mbele . Big up my prsdas
 
Back
Top Bottom